Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Umesahau hawa bukoba inaongoza tz kwa kutoa maaskofu wengi nchini ikitoa hata askofu wa kwanza mwafrika maaskofu hao ni
1.askofu Deusderius Rwoma jimbo la bukoba
2.askofu Methodius kilaini jimbo la bukoba
3.askofu protace Rugambwa mshauri wa papa
4.askofu novatus Rugambwa balozi wa papa Honduras
5.askofu kyaruzi jimbo la sumbawanga
6.askofu mwoleka rulenge ngara
7.askofu nkaranga
8.kardinali Rugambwa kardinali wa kwanza mweusi nk
9.padri Pius Rutechura mkuu wa amecea mashariki mwa Africa nk
Katika ufaulu bado wanazidi kupeta mwaka Jana padri delphinus Rwehumbiza amekuwa best students kwenye chuo cha cuea catholic university of eastern Africa
.jimbo la bukoba ndo linaongoza tz kuwa na mapadre wengi zaidi Tanzania likifatiwa na moshi
Mosinyori gozbert byamungu aliponea chupuchupu kuuliwa na wazungu mjini Roma baada ya kuwakimbiza kielimu wazungu wengi na hata kuwazidi walimu wake katika chuo kikuu cha urbaniana hata hivyo amerudi bongo na hatumii simu akiogopa kukamatwa na kuuliwa yeya anaongea kilatini vzr kuliko hata waroma wenyewe mpaka wanataka kumuua hao ndo nshomile bwana na huo ni uwanja wa dini tu
 
Hiyo ni kawaida mkuu ya wahaya sifa ya kwake kuu ambayo anaweza kukutwanga ile mbaya ni kumzarau hata siku moja usimdharau mhaya vinginevyo utamuona mbaya na yeye pia hajidharau anataka kuwa juu mda wote hasa juu ya makabila mengine na wahaya wenzake ndo maana wanaonekana watu wa kupenda sifa sana
 
Mrudi kupajenga kwenu sasa
Mkuu ila siku hizi wameanza kurudi ingawa wengine bado walio bukoba ni mashahidi hivi karibuni uwekezaji umeanza kuonekana na wanajenga sana vijijini kuliko mjini lakini siku hizi hata Bk imeanza kuamuka kwa kasi
 
Mbona ni Chuo kimoja tu, mie nawasifu wale wanao kuwa best secondary lkn hivyo vyuo vyenu vya kikabila siamini. Kuna uozo sana hapo Udsm
Duu hebu tazama matokeo ya form four ,form two,la saba,na la nne huone kama kagera ilishawahi kukosa ten best.kuanzia 2012 ukipata mwaka ambao kagera haimo ten best unitag.
 
Ila tangu tetemeko litokee bukoba imeanza kubadilika na kukua kwa kasi tena kimyakimya stendi wanajenga ya kisasa ambayo ilikuwa jipu kubwa maeneo ya mbali na mji kyakairabwa.speed imeongezeka ya ukuaji na kupnuka i
 
Haha na vile viji Choo vyao wanapo tuama kama maji ya mvua,ukiwaona utahisi ni mashetani,maana mchana kutwa wanashinda kula maparachichi [emoji16] [emoji16] [emoji16] .

Wapare tuko juu.
upareni kwa milima mmmmh, hivi karibuni nilikuwa ndungu......
 
sijui wakidharauliana wenyewe kwa wenyewe inakuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…