Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

hivi mnasalimianaje mkuu

Inadepend na mda/jinsia
Kwa asubuhi ...
Mwanaume-waitu olailota
Mwanamke-mawe olailota

Mchana mpaka usiku
Mwanaume-waitu wasibota
Mwanamke- mawe wasibota

Kwa mtu aliyeoa na kufunga ndoa
Mwanamke-mawe shumalamu
Mwanaume-waitu shumalamu
 
unamujua Rugangira a.k.a "Uncle Tom" Nyerere, aliwagwaya hawa watu. wape historian vijana wa sasa hivi hawajui kitu
 
jamaa zetu hawa wako vizuri, kuna mzee mmoja anaitwa Rwizandekwe, aliwahi kuwa katibu mkuu wizara ya sheria, Huyo ndo aliandika azimio LA Arusha akampa Nyerere, cha kushangaza Nyerere amekufa bila kuacknowlege
 
Sio kwamba wao ni Intelligent bali wazungu waliweka makao yao huko na kuanzisha elimu mapema zaidi ya sehemu zingine lkn pia angalia kwa Wachaga na Wanyakyusa........hilo suala la kuongeza maksi ilikuwa kawaida hata Usukumani hakutaka wasukuma wengi waende sekondali alipandisha hivyo akihofia kutokana na idadi yao wangeweza kudominate kila eneo
 
Duuuuuuu!!!! Bila shaka utakuwa ni mshiriki mzuri
 
Unamaanisha hawa jamaa sio ma intelligent kama wanavotambulika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…