Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Tatizo sio ujiniasi bali shule zilifika mapema kwao nakupelekea wao kuonekana wasomi sana but subiri miaka 50 ijayo kama hujasikia Haya limekuwa kabila la 10 kwa elimu tz maana wengi watakuwa wameifikia shule na kusomesha
 
hahahaha ukienda bukoba ndo utajua walivyo vichwa maji mpaka unashangaa

nimesoma nao hawakuwa wakali kiviiile, sema nilikutana na moja ilo chuoni lile jamaa linajua. dharau akili kubwa, kwa mara ya kwanza nilikuwa mnyonge mbele ya muhaya
Nani kakuambia muhaya serious na shule 100% akasomea Bukoba Mjini zile shule za pale ni KwA ajili ya kwenu ninyi
 
Almachius kahwa nilisoma nae advance pale Azania alikuwa wa kawaida tu,japo chuo tulienda different university ila now namuona fb na vipicha picha yupo Japan huko ila niwapongeze mmefanikiwa kwenye kupiga shule na mme fail kupatengeneza nyumbani
Huyo Almachus Kahwa alikuwa bright tena mpole mpole hv nimesoma nae O level, Jamaa wa kawaida ukimtizama lakini ni mTu mmoja Bright ukikubali kuongea nae lugha ya kisoma na kuFanya evaluation ya vitu sensitivity. Na atakuwa alikuchanganya kwa sababu sio msomaji sana kama wewe hila tambua hapo Azania alikuja na Div 1 point 9 na somaji yake hile ya magumashi

Na tambua Real recognise Real yawezekana wewe ulikuwa Realm.
 
If you're a good historian, then you probably have read about Sir Apollo Kaggwa...
I doubt... he probably heard that from some jerk! or so. George Kahama isn't one of them.
 
Kufaulu katika masomo ya mfumo huu wa elimu ya Tanzania wala sio kuwa na IQ kubwa ila inatokana na kuwa na uwezo mkubwa wa kukariri.

Skills is always more important than knowledge.

Dunia inahitaji watu Wabunifu na Wagunduzi ili wawe watatuzi wa shida zilizopo katika jamii na ulimwengu.

Dunia haihitaji bookish people, awe PHD holder au Proffesor.
 
Rubbish, all scientific discoveries were done by university Professors , from London, Cambridge, MIT, Oxford, and many others
Nobel Prizes in Science are awarded to Professors, sema maprof wa Bongo ndio kinyaa.
Rekebisha andiko lako
 
Ukizungumzia Professors wa vyuo vikuu hivyo ulivyotaja u make sense ila kwa madoctors na professors wa hapa Tanzania hakuna chochote zaidi ya kuishia kuwa lecturers kufundisha yale waliyofundishwa ama kuingia katika siasa.

Ujengaji wa dhana na Ubunifu wa vitu vitakavyokuwa msaada wa dunia ni ZERO.

Watu weusi wenye nywele ngumu na pua pana ni watu wa hovyo hovyo kuliko races zingine zote duniani.

Ila wahaya sifa yao kubwa,,nyodo,dharau,kuropokaropoka bila kujali mazingira aliyopo,zaidi sana umalaya,Nina shemeji zngu 3,,mmoja 58, yrs,,mwingine,56 yrs,mwingine 50 yrs,,na mwngne,47 yrs,,had sasa hawana mpango wa kuoa,,ni ma super tongoza!!!yanapenda kuitwa baby hadi leo
 
Malaya ni hao shemeji zako 3 au 4 sio wahaya wote. Kwani Hayati Kalidinari Laurian Rubambwa, Hayati, Baba askofu Josiah Kibira, Askofu mtaafu Samson Mshemba, Prof. Anna Kajumlo Tibajuka, Prof. Kami Rwegasira, Prof. Justian Rweyemamu, Hayati David Zimbihile, Prof. Katoke unawaona ni kundi la shemeji zako? Nani nimetaja kwa uchache, Acha kuonyesha ujinga wako hadharani. Kwani kwenye kabila lako hakuna msamiati wa neno "malaya"? Huo ni ubaguzi, ni udharirishaji na ukabila uliovuka mipaka.
 
Nimepata sehem research inayoonesha yafuatayo
Shuleni
1.Kila darasa ambalo kuna mchanganyiko wa wahaya top three mmoja lazima awe muhaya, we we utakaye changia hapa utakuwa shahidi hata kama huwapendi watani zangu
Fact
.Best student udsm 2005 - Benson kagashe
. Best student 2009 Mr denice byarushengo
. best student udsm 2014. Mr William pascal
. best student coet udsm 2015 mr Almachius Kahwa.

Mifano midogo tu, katika miaka 20 iliyopita chuokikuu kikubwa udsm kimepata best student kabila LA wahaya 12 ,

International organization
1. Texas power chief operations - Wellington kamala
2. IMF africa representative - Delphine rwegasira
3. Rweyemamu prize , a prize established by Harvard university for higher scorers, this was due to high performance of Justinian Rweyemamu. Father of Tanzania economics who influenced jakaya kikwete and lipumba to be economic scholars
4. James kateka from bukoba, general chairman of lawyers in the world, scholar Harvard university,
5. James rugemalila general manager of VIP engineering, academician,
6. Florian rugambwa the first bishop and cardinal in africa
7. Fr. Fidon Mwombeki chairman of UEM ( kiongozi wa kanisa la Lutheran dunian)
8. Babyegeya mutegeki , member of board of nuclear , USA
9. SIR GEORGE KAHAMA, the only sir in africa , alitoa ushauri positive kwa malikia akampa u sir

NDANI YA NCHI
KILA TAASISI YA SERIKALI NA BINAFSI ,

Maprofessa na wahadhiri wa vyuo vikuu
Wahaya kadhaa wamefundisha vyuo vikuu mahiri duniani
Mfano
A. Harvard university- Justinian Rweyemama 1970's
B. Mwesiga baregu , kabla hajarudi Tanzania alikuwa Harvard university,
C. Fransis Kateka Oxford
D. Prof kaijage , University of Birmingham
E. Mark rweyemamu director of GALv

Pia general education forum imeeleza idadi ya maprofessa w tanzania kuwahi kutokea ni 386 mpaka mwaka 2013
Mparofess 172 walitambulika kutoka kagera Bukoba direct , achilia mbali ambao hawakutumia majina yao mengine, na kati ya hao 172 , maprofesa 150 walitokea Tarafa ya kiziba,

Kwahiyo sehem nyingine za Tanzania zikawa na hao waliobaki

Kabla ya kuja kwa wakoloni mkoa kagera ulikuwa na shughuli zake za bunge zilizoendeshwa katiks wikaya ya Bukoba mjini, halikuitwa binge direct ila ilikuwa ni vikao vya wakama kila mwezi vinaendeshwa sehem inahitwa ACHEMBA rwamishenye, watu wakule wanapajua, vikao vimeendelea mpaka mwaka 1963 nyerere akaona vitachanganya wananchi akafuta, lakini wakolon walishangaa kuona shughuli za bajet, sheria na uchaguzi wa viongozi vikifanywa kama wakivyokuwa wanafanya ulaya, hii wamesema wameiona kwa wahaya na wakikuyu, ambapo machief watarafa saba wanakutana kufanya kamati mbali mbali.

TAASISI ZA SASA
-katika taasisi 10 manager 4 ni wahaya
TPB- leticy Rutashobya mkurugenzi mkuu
TPA - mwanasheria mkuu mr Rugazia
TFF- Dionize malinzi
TIC- madam Kairuki( katumbuliwa juzi)
NIC - Israel kamuzora
UDSM- prof mukandara
CRD- Consolatha ngimbwa general manager
NBC : Pius tibazarwa MD
TTCL: Kamugisha kazaula
UHAMIAJI: MR mikinga

Mashirika yapo mengi hawa watu wanachomekana au wanasifa husika?

Najua uko kuna wengine mnawajua wawekeni hapa tudhihirishe kama aliyeandika kitabu cha HAYA THE MOST INTELLIGENT PEOPLE IN AFRICA FOLLOWED BY KIKUYU IN KENYA

Wanaoelewa zaidi mwaka 1965 mwalimu nyerere akaamua kupandisha passmark makusudi kuwa ili uchaguliwe kwenda secondary ilibidi uwe umepata alama 120 kati ya 150 , isiwe chini ya hapo maana shule zilikuwa zikijaa wahaya, hii nimeipata kwenye library hapa kwetu Mara ,

Wakati watu wengine kama Dodoma MWENYE marks 65 kati ya 150, anaenda bila shida, akikumbana na yule mwenye 120 yaan karibia Mara mbili yake ilikuwa inakuwa hatari sana , kila wakati utasikia mwanafunzi wa kwanza
- Rutashobya
- Rutatinisibwa
- Rugaimukamu
- Buberwa

Na wengine kwakuwa feather weight inashindana na heavy weight ,
Professor Mark Rweyemamu - GALVmed
Obituary Prof. Kami S.P. Rwegasira, PhD
Valentine Rwegasira | Duncan Lewis | Immigration Solicitor | Dalston
Rwegasira, D. G. [WorldCat Identities]
Manzi Rwegasira | NMB Bank | ZoomInfo.com

Dar feels the pinch of global financial crisis
Kati ya benki 5 zilizofutwa na BoT kwa kushindwa kutimiza matakwa ya kibenki, moja ni ya chama kikuu cha ushirika Kagera.
 
Sifa kuu ya wahaya ni uasherati. Hata waanzisha madanguro dar,ni,,,,,,, ,hata ugonjwa huu ulianzia kwa,,,,, ,hata mtaani wahaya ni noma,kama wewe ni mhaya na tabia hiyo juu huna basi kaa kimyaaaaa!!!
 
Malaya ni hao shemeji zako 3 au 4 sio wahaya wote. Kwani Hayati Kalidinari Laurian Rubambwa, Hayati, Baba askofu Josiah Kibira, Askofu mtaafu Samson Mshemba, Prof. Anna Kajumlo Tibajuka, Prof. Kami Rwegasira, Prof. Justian Rweyemamu, Hayati David Zimbihile, Prof. Katoke unawaona ni kundi la shemeji zako? Nani nimetaja kwa uchache, Acha kuonyesha ujinga wako hadharani. Kwani kwenye kabila lako hakuna msamiati wa neno "malaya"? Huo ni ubaguzi, ni udharirishaji na ukabila uliovuka mipaka.
Umejuaje hao uliowataja sio malaya? Unalala nao kitanda kimoja 24/7?
 
Sifa kuu ya wahaya ni uasherati. Hata waanzisha madanguro dar,ni,,,,,,, ,hata ugonjwa huu ulianzia kwa,,,,, ,hata mtaani wahaya ni noma,kama wewe ni mhaya na tabia hiyo juu huna basi kaa kimyaaaaa!!!
We ni kabila gani?
 
Umejuaje hao uliowataja sio malaya? Unalala nao kitanda kimoja 24/7?
Unaposema hawa shemeji zangu sio wahaya,it means unawafahamu kuliko Mimi?kifupi wahaya hawana miiko,hata huyo David zimbihire alikuwaga mbunge,namfahamu,na watoto wake wote!!!tabia za wahaya znaeleweka,kama wewe huna basi kaa kimya!!!kuna wazee wa kihaya mtaani kama watano,hao ni noumaaa!!!kalagabaho
 
Back
Top Bottom