Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Aiseeee umenifungua pahala
 
Of course they are very intelligent...Ukienda pale MOI wale madaktari wa mishipa ya fahamu na ubongo(Neurosurgeon ) wote ni wahaya.....This is one of the speciality in medicine ambayo ni ngumu sana .....
Duu
 
cha ajabu ni kuwa mkoa wao wa Kagera ndio mkoa maskini zaidi hapa Tanzania!!!!!fanyia na hili utafiti uje utujuze kwa nini ma prof wawe maskini
Kwa sababu ya ccm yako.halafu hiyo ni takwimu.vijiji vyao kuna migheto ya nguvu hasa kule muleba, na misenyi
 
Ila kumeshatokeA watoto wengi wa kagera wenye akili za ajabu sasa ni watano na wamezagaa mno mitandaoni why kagera
 
waluo tuna Nobel kupitia Barack Obama, tuna Oscar kupitia Lupita, tumecheza World cup kupitia Origi , need we say more
 
Huwezi ukasema wanafuatiwa kikuyu wakati hao wahaya wamepakana na uganda na wapo hapo uganda kwa kabila lingine ila ni asili hiyohiyo. Tuseme haojamaa wenye asili ya kihaya wapo vuzuri sana pande zote zt na ug.
 
Yaani umekosa cha kuandika unaandika upuuzi huu.Wewe utakuwa ni Mhaya lazima.Hizi ni tabia zenu zile zile ovu za kujifanya ninyi ni bora kuliko watu wote,mna kila kitu,mna akili sana,so you know everything.Ni misifa tu ya kijinga mtindo mmoja na dharau tele kwa watu wengine.Hovyo sana.Hata hamuoni aibu loo.Na hata kama ni kwelii,why should you show it for Gods' sake,huoni kwamba kwa kufanya hivyo watu watazidi kuwachukia?Wenye akili wanaficha udhaifu wao jamani,ninyi vipi?No wonder really many people hate you.

Nilipata bahati mbaya sana ya kuoa Mhaya,dah,nilipata joto ya jiwe first hand,sisimuliwi.
Baadae ilibidi nibwage manyanga.It was extremely difficult time for me.
 
Ni kwelii lkn hawapelekii maendeleo kwaoooo
 
Pole sana. Huyo mkeo ulubahatika kuzaa nae?
 
Kuna kíjana anataka kubadili kabila awe muaya!
Je afanyeje?
Kabila lake analotaka kulikimbia ni zaramo OG
 
Mkuu umeandika kwa hasira sana je ungeoa mzaramo ungekuwa chizi dk hii niulize mm na alikua ni gal wangu tu ila nilikiona cha mtema kuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…