britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Sure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaWazinza ndo most. Wao wanajua kila kitu na hawajaribiwiiiii
Kitu kidogo wanakikuza utafikir ndo wa kwanza dunian,Mbwana Samatta angekuwa mhaya dah!!!
Kitu kidogo wanakikuza utafikir ndo wa kwanza dunian,Mbwana Samatta angekuwa mhaya dah!!!
You argue like genius and perhaps I hope so,, issue is not how deep your education no thank you ,issue is how do you replicate your knowledge into life perspectives ,that's all ,of keep bragging but you have failed to put Knowledge into practise then you become total failureWahaya ni misifa tu inawasumbua kwani wana kutabia cha kutaka kuonekana kuwa wana akili Kumbe wanalazimisha tu.
These guys ni wasanii ... Opportunists and hypocrites!
Hebu tuwekee wahaya mabilionea kwani kuwa kwenye hizo taasisi kwa wingi ulioutaja ni ishara kwamba wana elimu kubwa ... Sawa wana elimu but ARE THEY ABLE TO PUT THE KNOWLEDGE INTO PRACTICE?
Ndugu competence inaundwa na vitu muhimu vitatu: KNOWLEDGE, SKILLS & ATTITUDE (ASK). Tofauti Kati ya knowledge na skills ni kwamba knowledge (Intelligence Quotient - IQ hufanya watu waelewe vitu kwa wepesi kuliko wengine) inapatikana kwa kuhudhuria lecture na kusoma makabrasha meeengi na makubwa makubwa (wahaya ni mahiri hapa nakubali); SKILLS ni uwezo wa kutumia knowledge kusolve problems (hapa wako zero kwani miPhD na Uprofesa haujawasaidia kuleta Ubunifu katika kazi ... Ndio maana maprof wengi ni maskini ... Ukijumlisha vipato vya maprof na MaDR wote bongo havifikii nusu ya utajiri wa mtu Kama Dewj au Mengi); Attitude inamfanya mtu awe na low/high Emotional Intelligence/quotient (EQ) ... Hapa wahaya wengi wana EQ ndogo kwani Sifa mingi na kujifanya wajuvi huwafanya wanajamii wawakimbie ukiongeza na utapeli ndio basi tena.
Kwa hiyo mleta mada kujipanga upya ... Nenda ukasome kuhusu intelligence vizuri ndio uje umwage PUMBA zako hapa!!!
Correct...!Sijawahi pitwa na mtani wangu wa kihaya darasani kuanzia nasare hadi hapo UDSM mnapopasema.
Niliwanyoosha wote hadi wakaamini kwamba siye WAKWAYA tupo vizuri upstairs.
Hapa kazini kuna bosi mhaya PhD holder anatia akili na ki masters changu. Na huwa ananikubali hadi anajishangaa.
Wahaya ni wadogo tu.
A Level PCM Usagara nilimsumbua mchaga mmoja alikuwa anakesha wakati mie najifunza kula bia. Aliiywa KIMBI. Hivyo IQ haina ikabila ni juhudi ya mtu na namna alivyoumbwa.
Kazi gani?Wahaya kazi yao inajulikana kitaifa na kimataifa!!!kama unabisha sema nikupe data
Uislam na uswahili wake ndio sababu za hao watu kutopata elimu hata ingawa Tabora boys, Tabora girls na Moro sec zilikuwepo kwao tangu enzi.Tabora boy's, morogoro, iringa, songea,bagamoyo,mwadui shinyanga na dar es salaam na sehemu nyinginezo lakini watu hawakuwa na mwamko wa elimu
Kazi za kimwili!!!Kazi gani?
Tupe data zinazotokana na utafiti yakinifu.
Kazi nyingi anazofanya mwanadamu ni za kimwili na zingine za kiakiliKazi za kimwili!!!
Ova!Kazi nyingi anazofanya mwanadamu ni za kimwili na zingine za kiakili
Kwahiyo bado hujawa specific kuitaja.
An apple doesnt fall far from a tree.Olugoye....!
Haya maneno hayawezi nifanya nimwache demu wangu wa kihaya wa tokea 2014...na kuna uwezekano wa kumweka ndani kbs.
Yuko tofauti coz hana dharau na sifa za kiboya, kama ana vikasoro ni vidogo vidogo tu.
Mimi nakataa kuwa Wahaya woote ni malaya !!!