Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Issue is not education ,issue is how you replicate it to life ,kusoma sana but you can't translate into life value is useless ,utterly useless
 
Wahaya ni misifa tu inawasumbua kwani wana kutabia cha kutaka kuonekana kuwa wana akili Kumbe wanalazimisha tu.

These guys ni wasanii ... Opportunists and hypocrites!

Hebu tuwekee wahaya mabilionea kwani kuwa kwenye hizo taasisi kwa wingi ulioutaja ni ishara kwamba wana elimu kubwa ... Sawa wana elimu but ARE THEY ABLE TO PUT THE KNOWLEDGE INTO PRACTICE?

Ndugu competence inaundwa na vitu muhimu vitatu: KNOWLEDGE, SKILLS & ATTITUDE (ASK). Tofauti Kati ya knowledge na skills ni kwamba knowledge (Intelligence Quotient - IQ hufanya watu waelewe vitu kwa wepesi kuliko wengine) inapatikana kwa kuhudhuria lecture na kusoma makabrasha meeengi na makubwa makubwa (wahaya ni mahiri hapa nakubali); SKILLS ni uwezo wa kutumia knowledge kusolve problems (hapa wako zero kwani miPhD na Uprofesa haujawasaidia kuleta Ubunifu katika kazi ... Ndio maana maprof wengi ni maskini ... Ukijumlisha vipato vya maprof na MaDR wote bongo havifikii nusu ya utajiri wa mtu Kama Dewj au Mengi); Attitude inamfanya mtu awe na low/high Emotional Intelligence/quotient (EQ) ... Hapa wahaya wengi wana EQ ndogo kwani Sifa mingi na kujifanya wajuvi huwafanya wanajamii wawakimbie ukiongeza na utapeli ndio basi tena.

Kwa hiyo mleta mada kujipanga upya ... Nenda ukasome kuhusu intelligence vizuri ndio uje umwage PUMBA zako hapa!!!
You argue like genius and perhaps I hope so,, issue is not how deep your education no thank you ,issue is how do you replicate your knowledge into life perspectives ,that's all ,of keep bragging but you have failed to put Knowledge into practise then you become total failure
 
Olugoye....!

Haya maneno hayawezi nifanya nimwache demu wangu wa kihaya wa tokea 2014...na kuna uwezekano wa kumweka ndani kbs.

Yuko tofauti coz hana dharau na sifa za kiboya, kama ana vikasoro ni vidogo vidogo tu.

Mimi nakataa kuwa Wahaya woote ni malaya !!!
 
Sijawahi pitwa na mtani wangu wa kihaya darasani kuanzia nasare hadi hapo UDSM mnapopasema.

Niliwanyoosha wote hadi wakaamini kwamba siye WAKWAYA tupo vizuri upstairs.

Hapa kazini kuna bosi mhaya PhD holder anatia akili na ki masters changu. Na huwa ananikubali hadi anajishangaa.

Wahaya ni wadogo tu.

A Level PCM Usagara nilimsumbua mchaga mmoja alikuwa anakesha wakati mie najifunza kula bia. Aliiywa KIMBI. Hivyo IQ haina ikabila ni juhudi ya mtu na namna alivyoumbwa.
Correct...!
 
Tabora boy's, morogoro, iringa, songea,bagamoyo,mwadui shinyanga na dar es salaam na sehemu nyinginezo lakini watu hawakuwa na mwamko wa elimu
Uislam na uswahili wake ndio sababu za hao watu kutopata elimu hata ingawa Tabora boys, Tabora girls na Moro sec zilikuwepo kwao tangu enzi.
 
Olugoye....!

Haya maneno hayawezi nifanya nimwache demu wangu wa kihaya wa tokea 2014...na kuna uwezekano wa kumweka ndani kbs.

Yuko tofauti coz hana dharau na sifa za kiboya, kama ana vikasoro ni vidogo vidogo tu.

Mimi nakataa kuwa Wahaya woote ni malaya !!!
An apple doesnt fall far from a tree.
 
Hapo kale nchi za afrika kaskazini zilikua za watu weusi. Waafrika weusi wa leo ndio uzao wa Ham (Mizraim, Cush and Phut). Leo hii wa canaan ni wachache sana au hawapo kabisa kwasababu wengi wao sana walishakufa zamani sana. Mizraim ni ancient Egypyt (wamisri wa kale), Cush ni ancient Ethiopia and Phut ni ancient Libya. Wahabeshi wa leo ni machotara wa kiafrika na kiarabu na hivyo hivyo wasomali. Uchotara huu unaweza ukawa wa miaka zaidi ya 2000.

Kibantu na ubantu ni very complex. Lugha ya kibantu ilikua lugha kuu (lingua franca) ya himaya hizo za kale za watu weusi kwa kipindi fulani kirefu sana. Kuna wabantu ambao ni ancient Egyptians, kuna wabantu ambao ni ancient Ethiopians na kuna wabantu ambao ni ancient Libyans. Kuna sehemu ya maneno ya kibantu ambayo ni maneno yaliyo tumiwa na Kizazi cha Noah kabla ya lugha kugawanywa kwenye mnara wa Babel.

Wabantu huenda inamaanisha watoto wa anu na antu, ambao ni miungu ya uwongo ya ancient Sumeria. Ancient Sumeria ipo Sehemu ya Iraq ya leo. Kumbuka kwamba himaya kama Assyria na Babylon zilikua na hamitic phase (Nimrod and company) na Semitic phase Senacherib na Nebuchadnezzar and company.

Makabila ambayo ni pure wafugaji kama wamasai ni direct vitukuu wa ancient Cush (ancient Ethiopians). Kuna uwezekano wamasai ni ancient sabeans, ancient sabeans ni sub-category ya ancient cush. Ancient Ethiopia ni Sudan ya leo, ingawa kuna vipindi vya kale zaidi ambapo ilikua pia sehemu za Iraq, sehemu ya Saudia na Yemen, saa ingine hadi sehemu ya India na sehemu ya cambodia.

Makabila ambayo yanachanganya kilimo na ufugaji na yana ishi karibia na mto Nile au Lake Victoria kama Waluo hawa watakua ancient Egyptians au ancient ethiopians. Kuna wabantu ambao ni ancient Egyptians (hususan wale wa river Nile and Lake Victoria area kama wahaya, wabaganda). Wachagga, Wakikuyu na Wakamba wanaweza kua ancient Egyptians au ancient Libyans, lakini kuna probability kubwa wakawa ancient Libyans. Mataifa ya ancient Libya, Egypt na Ethiopia yalikua na muingiliano mkubwa. Kuna vipindi virefu sana ambvyo mafarao wa Ethiopia na Libya walitawala Misri and vice-versa.

Kuna jamii za waafrika weusi (especially wamisri wa kale) ambazo huko zamani sana walikua wanamchukia na wanabishana sana na Mungu wa Israel (na watakatifu wake) na walikua na akili sana, mafanikio sana, utajiri mwingi sana na kiburi sana. Pia walikua wanapenda sana sensual sins.

Ina sadikika kwamba kutokana na ubishi na kiburi cha hawa jamaa, Mungu wa Israel ali waadhibu waafrika weusi kwa kuwashusha chini sana sana kimaendeleo kwa kipindi kirefu sana sana mpaka leo hii afrika haija recover sawa sawa. Kushushwa huko kulipelekea kuja kwa ukoloni, utumwa na kukaliwa kwa afrika kaskazini na watu wa jamii ya kiarabu (waarabu weupe, wa-semites).

Ham ndo alikua mtoto wa kwanza wa kuzaliwa na Noah, Shem alikua wa pili, Japheth alikua watatu. Canaan ndie aliefanya kosa lile, Noah akamlaani Caanan. Akampa Shem haki za mtoto wa kwanza na akambariki Japheth pia, Ham hakutajwa kwenye Baraka zile, lakini pia hakulaaniwa. So ikawa Shem, Ham and Japheth. Na Yesu akaja kupitia uzao wa Shem, Abraham, Isaac na Jacob. So the right of the first born son and the holy and royal line of the priest hood aliipata Shem. Wakristo kupitia Yesu ni warithi wa kiroho wa hiyo right of first born. Yesu alizaliwa during the Feast of Tabernacles.

Japheth ni baba wa wazungu na Shem ni baba wa waebrania (waisraeli wa zamani), waarabu weupe na mataifa ya mashariki ya kati. Baada ya Kutawanywa kwa wajenzi wa mnara wa Babeli, Mungu wa Israel aliunda mataifa 70 ambayo yalitokana na Shem, Ham na Japheth. Na watu wote walioko duniani leo ni vitukuu vya hayo mataifa 70.

So umeona origin ya waafrika weusi (including Wahaya)
 
Back
Top Bottom