Vegetarian
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 654
- 509
Niombe radhi wabaki na unintelligible wao lakin mi siwez kujivunia kuwa muhayaUtakuwa muhaya weww
HeheWala si kinyongo Bali ni fact ... Wamezidi misifa ya kijinga ..
Ingekuwa hivyo wazungu ambao ni wavumbuzi wa kila kitu mpaka watu wanadiriki kusema DUNIA YA MUNGU VITU VYA WAZUNGU Sijui wangefanyaje ... Wafanye mambo Tutaona waachane na mambo ya makaratasi makaratasi ... Wanakufa wanaacha MaPhD kwenye makaratasi ambayo hayajaongeza thamani yoyote hapa duniani na kuwaachia watoto wao tabu kwa sababu ya Sifa za kijingajinga!!!
Ni Wellington kamala, Texas kuna wengi tu msome Justinian Rweyemamu, kuna jamaa anaitwa Mr nelcon barongo yuko Harvard, wapo wengiHaya nitajie Genious wa Kihaya anayefahamika .... Ni wa kukariri tu hao!!!
Jina lake ni KATO na kama hamjuhi babu yake kazikwa uswahilini Bukoba mjiniTuko wachache tunaofahamu kabila lake halisi (una uwezo mkubwa mdau au nawe ni Mkikuyu??) , aliwalaghai wale wengi nao wakaingia mkenge wakampa zoooote.
Nimepata sehem research inayoonesha yafuatayo
Shuleni
1.Kila darasa ambalo kuna mchanganyiko wa wahaya top three mmoja lazima awe muhaya, we we utakaye changia hapa utakuwa shahidi hata kama huwapendi watani zangu
Fact
.Best student udsm 2005 - Benson kagashe
. Best student 2009 Mr denice byarushengo
. best student udsm 2014. Mr William pascal
. best student coet udsm 2015 mr Almachius Kahwa.
Mifano midogo tu, katika miaka 20 iliyopita chuokikuu kikubwa udsm kimepata best student kabila LA wahaya 12 ,
International organization
1. Texas power chief operations - Wellington kamala
2. IMF africa representative - Delphine rwegasira
3. Rweyemamu prize , a prize established by Harvard university for higher scorers, this was due to high performance of Justinian Rweyemamu. Father of Tanzania economics who influenced jakaya kikwete and lipumba to be economic scholars
4. James kateka from bukoba, general chairman of lawyers in the world, scholar Harvard university,
5. James rugemalila general manager of VIP engineering, academician,
6. Florian rugambwa the first bishop and cardinal in africa
7. Fr. Fidon Mwombeki chairman of UEM ( kiongozi wa kanisa la Lutheran dunian)
8. Babyegeya mutegeki , member of board of nuclear , USA
9. SIR GEORGE KAHAMA, the only sir in africa , alitoa ushauri positive kwa malikia akampa u sir
NDANI YA NCHI
KILA TAASISI YA SERIKALI NA BINAFSI ,
Maprofessa na wahadhiri wa vyuo vikuu
Wahaya kadhaa wamefundisha vyuo vikuu mahiri duniani
Mfano
A. Harvard university- Justinian Rweyemama 1970's
B. Mwesiga baregu , kabla hajarudi Tanzania alikuwa Harvard university,
C. Fransis Kateka Oxford
D. Prof kaijage , University of Birmingham
Pia general education forum imeeleza idadi ya maprofessa w tanzania kuwahi kutokea ni 386 mpaka mwaka 2013
Mparofess 172 walitambulika kutoka kagera Bukoba direct , achilia mbali ambao hawakutumia majina yao mengine, na kati ya hao 172 , maprofesa 150 walitokea Tarafa ya kiziba,
Kwahiyo sehem nyingine za Tanzania zikawa na hao waliobaki
Kabla ya kuja kwa wakoloni mkoa kagera ulikuwa na shughuli zake za bunge zilizoendeshwa katiks wikaya ya Bukoba mjini, halikuitwa binge direct ila ilikuwa ni vikao vya wakama kila mwezi vinaendeshwa sehem inahitwa ACHEMBA rwamishenye, watu wakule wanapajua, vikao vimeendelea mpaka mwaka 1963 nyerere akaona vitachanganya wananchi akafuta, lakini wakolon walishangaa kuona shughuli za bajet, sheria na uchaguzi wa viongozi vikifanywa kama wakivyokuwa wanafanya ulaya, hii wamesema wameiona kwa wahaya na wakikuyu, ambapo machief watarafa saba wanakutana kufanya kamati mbali mbali.
TAASISI ZA SASA
-katika taasisi 10 manager 4 ni wahaya
TPB- leticy Rutashobya mkurugenzi mkuu
TPA - mwanasheria mkuu mr Rugazia
TFF- Dionize malinzi
TIC- madam Kairuki( katumbuliwa juzi)
NIC - Israel kamuzora
UDSM- prof mukandara
CRD- Consolatha ngimbwa general manager
NBC : Pius tibazarwa MD
TTCL: Kamugisha kazaula
UHAMIAJI: MR mikinga
Mashirika yapo mengi hawa watu wanachomekana au wanasifa husika?
Najua uko kuna wengine mnawajua wawekeni hapa tudhihirishe kama aliyeandika kitabu cha HAYA THE MOST INTELLIGENT PEOPLE IN AFRICA FOLLOWED BY KIKUYU IN KENYA
Wanaoelewa zaidi mwaka 1965 mwalimu nyerere akaamua kupandisha passmark makusudi kuwa ili uchaguliwe kwenda secondary ilibidi uwe umepata alama 120 kati ya 150 , isiwe chini ya hapo maana shule zilikuwa zikijaa wahaya, hii nimeipata kwenye library hapa kwetu Mara ,
Wakati watu wengine kama Dodoma MWENYE marks 65 kati ya 150, anaenda bila shida, akikumbana na yule mwenye 120 yaan karibia Mara mbili yake ilikuwa inakuwa hatari sana , kila wakati utasikia mwanafunzi wa kwanza
- Rutashobya
- Rutatinisibwa
- Rugaimukamu
- Buberwa
Na wengine kwakuwa feather weight inashindana na heavy weight ,
Kwa yeyote anayejua fundamentals za scintific research, conclusion yako si sahihi kabisa. hata baaadhi ya unazoziita facts si sahihi. Mfano mmoja tu kuitwa Sir na waingereza hakuna uhusiano na intelligence, ambayo kwa hapa umeipa a very narrow definition ya academic performance. Mwsiho nashindwa kufikiria kwa nini katika mambo yote tusoyajua umetafiti hili la kundi moja la Watanzania kua bora ya wenzao.Nimepata sehem research inayoonesha yafuatayo
Shuleni
1.Kila darasa ambalo kuna mchanganyiko wa wahaya top three mmoja lazima awe muhaya, we we utakaye changia hapa utakuwa shahidi hata kama huwapendi watani zangu
Fact
.Best student udsm 2005 - Benson kagashe
. Best student 2009 Mr denice byarushengo
. best student udsm 2014. Mr William pascal
. best student coet udsm 2015 mr Almachius Kahwa.
Mifano midogo tu, katika miaka 20 iliyopita chuokikuu kikubwa udsm kimepata best student kabila LA wahaya 12 ,
International organization
1. Texas power chief operations - Wellington kamala
2. IMF africa representative - Delphine rwegasira
3. Rweyemamu prize , a prize established by Harvard university for higher scorers, this was due to high performance of Justinian Rweyemamu. Father of Tanzania economics who influenced jakaya kikwete and lipumba to be economic scholars
4. James kateka from bukoba, general chairman of lawyers in the world, scholar Harvard university,
5. James rugemalila general manager of VIP engineering, academician,
6. Florian rugambwa the first bishop and cardinal in africa
7. Fr. Fidon Mwombeki chairman of UEM ( kiongozi wa kanisa la Lutheran dunian)
8. Babyegeya mutegeki , member of board of nuclear , USA
9. SIR GEORGE KAHAMA, the only sir in africa , alitoa ushauri positive kwa malikia akampa u sir
NDANI YA NCHI
KILA TAASISI YA SERIKALI NA BINAFSI ,
Maprofessa na wahadhiri wa vyuo vikuu
Wahaya kadhaa wamefundisha vyuo vikuu mahiri duniani
Mfano
A. Harvard university- Justinian Rweyemama 1970's
B. Mwesiga baregu , kabla hajarudi Tanzania alikuwa Harvard university,
C. Fransis Kateka Oxford
D. Prof kaijage , University of Birmingham
Pia general education forum imeeleza idadi ya maprofessa w tanzania kuwahi kutokea ni 386 mpaka mwaka 2013
Mparofess 172 walitambulika kutoka kagera Bukoba direct , achilia mbali ambao hawakutumia majina yao mengine, na kati ya hao 172 , maprofesa 150 walitokea Tarafa ya kiziba,
Kwahiyo sehem nyingine za Tanzania zikawa na hao waliobaki
Kabla ya kuja kwa wakoloni mkoa kagera ulikuwa na shughuli zake za bunge zilizoendeshwa katiks wikaya ya Bukoba mjini, halikuitwa binge direct ila ilikuwa ni vikao vya wakama kila mwezi vinaendeshwa sehem inahitwa ACHEMBA rwamishenye, watu wakule wanapajua, vikao vimeendelea mpaka mwaka 1963 nyerere akaona vitachanganya wananchi akafuta, lakini wakolon walishangaa kuona shughuli za bajet, sheria na uchaguzi wa viongozi vikifanywa kama wakivyokuwa wanafanya ulaya, hii wamesema wameiona kwa wahaya na wakikuyu, ambapo machief watarafa saba wanakutana kufanya kamati mbali mbali.
TAASISI ZA SASA
-katika taasisi 10 manager 4 ni wahaya
TPB- leticy Rutashobya mkurugenzi mkuu
TPA - mwanasheria mkuu mr Rugazia
TFF- Dionize malinzi
TIC- madam Kairuki( katumbuliwa juzi)
NIC - Israel kamuzora
UDSM- prof mukandara
CRD- Consolatha ngimbwa general manager
NBC : Pius tibazarwa MD
TTCL: Kamugisha kazaula
UHAMIAJI: MR mikinga
Mashirika yapo mengi hawa watu wanachomekana au wanasifa husika?
Najua uko kuna wengine mnawajua wawekeni hapa tudhihirishe kama aliyeandika kitabu cha HAYA THE MOST INTELLIGENT PEOPLE IN AFRICA FOLLOWED BY KIKUYU IN KENYA
Wanaoelewa zaidi mwaka 1965 mwalimu nyerere akaamua kupandisha passmark makusudi kuwa ili uchaguliwe kwenda secondary ilibidi uwe umepata alama 120 kati ya 150 , isiwe chini ya hapo maana shule zilikuwa zikijaa wahaya, hii nimeipata kwenye library hapa kwetu Mara ,
Wakati watu wengine kama Dodoma MWENYE marks 65 kati ya 150, anaenda bila shida, akikumbana na yule mwenye 120 yaan karibia Mara mbili yake ilikuwa inakuwa hatari sana , kila wakati utasikia mwanafunzi wa kwanza
- Rutashobya
- Rutatinisibwa
- Rugaimukamu
- Buberwa
Na wengine kwakuwa feather weight inashindana na heavy weight ,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi MHAYAAAATuko wachache tunaofahamu kabila lake halisi (una uwezo mkubwa mdau au nawe ni Mkikuyu??) , aliwalaghai wale wengi nao wakaingia mkenge wakampa zoooote.
Ntakupigia simuJina lake ni KATO na kama hamjuhi babu yake kazikwa uswahilini Bukoba mjini
Hivi na yule aliyetengeneza chopa huko mbeya inakuwaje ss?
Yule alotengeneza chopa hujui hata lafudhi yake alivyokuwa anahojiwa he he , Uzi uu unachekeshaYule Baba yake ni mhaya.
Acha mihemko kaka.cha.msingi kaza...mtoa mada katoa mifano.kibao sijui wataka nn zaidi..kuna tym wachaga mkubali kuwa mpo vizur ktk bizness na sio ktk kufananisha na wahaya....mie kwa mtazamo wangu wachaga wapambane na wakinga na sio wahaya..kwa swala la elimu hata wasukuma na wale ireje mbeya wapi speeda ya ajabu ..
Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
Mkuu,Nimepata sehem research inayoonesha yafuatayo