Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Hata Wagogo wamo
1.Best zabibu farmer 2003-Ndogwe Chigongwe
2.Best traditional music singer 1967-Madalabwete Msanjila
3.Best traditional actor 1995-Zebedayo Machimo
4.Mr Central Zone 1988-Matia Chibwaye.
 
KAGERA IKOJE LEO? KIMAENDELEO, NAMAANISHA.
Kagera kinaendeleo iko vizuri sana tena sana, tatizo lenu mnafuata ya wazungu, economic development And human development, vitu vinavyotofautiana , kagera ukipima mambo ya kipato kwa MTU mmoja mmoja utakuwa unawaonea, lakin ukipima kila muhaya alipi haijarishi ni London , iringa, mbeya dar na maendeleo yao wahaya wako juu, tofautisha neno wahaya, na watu waishio kagera
 
kwa kuwa this is JF its best we do the fact check

1. JAMES RUGEMALIRA alikuwa academician lini and how???

2. GEORGE KAHAMA hakuwahi na hajawahi kupewa u knighthood na HER MAJESTY THE QUEEN so he can't be called "SIR" in actual sense.

3. WANGAZIJA hawana akili hivyo unavyofikiria kwa sababu wangekuwa na akili hivyo BOB DENARD asingekuwa ana wahanithi kila kukicha


endeleeni kuongopeana
Usimbeze James rugemalira I academician safi,


http://www.google.ae/url?q=https://...ggVMAQ&usg=AFQjCNFcwxWxHGMlq8FVCzDX6QFY_TcuEQ

Anna Tibaijuka - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Wewe jamaa hujanielewa vizuri ... Soma comment vizuri ... Ndio maana nimelinganisha maprof na kina Mengi ambao kitaaluma hawako kivile Kama wahaya
Haujui kuwa Mengi anashahada ya ubobezi? Au unadhani ule u-dkt ni wa kupewa?
 
Hivi kuna mhaya aliyemzidi elimu Prof SOSPETER MUHONGO????? au kuna mtanzania aliyemzidi elimu MUHONGO?????
Wewe hujui unachoongea. Ubora wa pro. Muhongo ni kwenye geology huko. Huwezi mchukua Pro. Mhongo ukamlinganisha na pro. wa taaluma nyingine alafu ukasema pro. Mujonho ana elimu kuliko wengine
 
Mr Tanganyika namshangaa. Mleta mada ameonesha mifano. Huyu anakuja na terminologies kama sifa za kijinga, .....Hapa inaonesha Mr Tanganyika hana facts. Naamini hata tukisema Wachagga ni wafanyabiashara wazuri hapa nchini bado atabishi. Ndugu, there is no shortcut to maturity. Komaa taratibu.
 
Nimepata sehem research inayoonesha yafuatayo
Shuleni
1.Kila darasa ambalo kuna mchanganyiko wa wahaya top three mmoja lazima awe muhaya, we we utakaye changia hapa utakuwa shahidi hata kama huwapendi watani zangu
Fact
.Best student udsm 2005 - Benson kagashe
. Best student 2009 Mr denice byarushengo
. best student udsm 2014. Mr William pascal
. best student coet udsm 2015 mr Almachius Kahwa.

Mifano midogo tu, katika miaka 20 iliyopita chuokikuu kikubwa udsm kimepata best student kabila LA wahaya 12 ,

International organization
1. Texas power chief operations - Wellington kamala
2. IMF africa representative - Delphine rwegasira
3. Rweyemamu prize , a prize established by Harvard university for higher scorers, this was due to high performance of Justinian Rweyemamu. Father of Tanzania economics who influenced jakaya kikwete and lipumba to be economic scholars
4. James kateka from bukoba, general chairman of lawyers in the world, scholar Harvard university,
5. James rugemalila general manager of VIP engineering, academician,
6. Florian rugambwa the first bishop and cardinal in africa
7. Fr. Fidon Mwombeki chairman of UEM ( kiongozi wa kanisa la Lutheran dunian)
8. Babyegeya mutegeki , member of board of nuclear , USA
9. SIR GEORGE KAHAMA, the only sir in africa , alitoa ushauri positive kwa malikia akampa u sir


NDANI YA NCHI
KILA TAASISI YA SERIKALI NA BINAFSI ,

Maprofessa na wahadhiri wa vyuo vikuu
Wahaya kadhaa wamefundisha vyuo vikuu mahiri duniani
Mfano
A. Harvard university- Justinian Rweyemama 1970's
B. Mwesiga baregu , kabla hajarudi Tanzania alikuwa Harvard university,
C. Fransis Kateka Oxford
D. Prof kaijage , University of Birmingham
E. Mark rweyemamu director of GALv

Pia general education forum imeeleza idadi ya maprofessa w tanzania kuwahi kutokea ni 386 mpaka mwaka 2013
Mparofess 172 walitambulika kutoka kagera Bukoba direct , achilia mbali ambao hawakutumia majina yao mengine, na kati ya hao 172 , maprofesa 150 walitokea Tarafa ya kiziba,

Kwahiyo sehem nyingine za Tanzania zikawa na hao waliobaki

Kabla ya kuja kwa wakoloni mkoa kagera ulikuwa na shughuli zake za bunge zilizoendeshwa katiks wikaya ya Bukoba mjini, halikuitwa binge direct ila ilikuwa ni vikao vya wakama kila mwezi vinaendeshwa sehem inahitwa ACHEMBA rwamishenye, watu wakule wanapajua, vikao vimeendelea mpaka mwaka 1963 nyerere akaona vitachanganya wananchi akafuta, lakini wakolon walishangaa kuona shughuli za bajet, sheria na uchaguzi wa viongozi vikifanywa kama wakivyokuwa wanafanya ulaya, hii wamesema wameiona kwa wahaya na wakikuyu, ambapo machief watarafa saba wanakutana kufanya kamati mbali mbali.

TAASISI ZA SASA
-katika taasisi 10 manager 4 ni wahaya
TPB- leticy Rutashobya mkurugenzi mkuu
TPA - mwanasheria mkuu mr Rugazia
TFF- Dionize malinzi
TIC- madam Kairuki( katumbuliwa juzi)
NIC - Israel kamuzora
UDSM- prof mukandara
CRD- Consolatha ngimbwa general manager
NBC : Pius tibazarwa MD
TTCL: Kamugisha kazaula
UHAMIAJI: MR mikinga

Mashirika yapo mengi hawa watu wanachomekana au wanasifa husika?

Najua uko kuna wengine mnawajua wawekeni hapa tudhihirishe kama aliyeandika kitabu cha HAYA THE MOST INTELLIGENT PEOPLE IN AFRICA FOLLOWED BY KIKUYU IN KENYA

Wanaoelewa zaidi mwaka 1965 mwalimu nyerere akaamua kupandisha passmark makusudi kuwa ili uchaguliwe kwenda secondary ilibidi uwe umepata alama 120 kati ya 150 , isiwe chini ya hapo maana shule zilikuwa zikijaa wahaya, hii nimeipata kwenye library hapa kwetu Mara ,

Wakati watu wengine kama Dodoma MWENYE marks 65 kati ya 150, anaenda bila shida, akikumbana na yule mwenye 120 yaan karibia Mara mbili yake ilikuwa inakuwa hatari sana , kila wakati utasikia mwanafunzi wa kwanza
- Rutashobya
- Rutatinisibwa
- Rugaimukamu
- Buberwa

Na wengine kwakuwa feather weight inashindana na heavy weight ,
Professor Mark Rweyemamu - GALVmed
Obituary Prof. Kami S.P. Rwegasira, PhD
Valentine Rwegasira | Duncan Lewis | Immigration Solicitor | Dalston
Rwegasira, D. G. [WorldCat Identities]
Manzi Rwegasira | NMB Bank | ZoomInfo.com

Dar feels the pinch of global financial crisis
Kabwinyola na wewe ni mhaya eee
 
ATTACH]G] kamugisha katika jeshi LA marekani
 

Attachments

  • 1471425408536.jpg
    1471425408536.jpg
    68.2 KB · Views: 34
Umeandika weee hadi ukachoka. Tupe reference basi. Maana kila mtu akianza kusifia kabila lake bila facts hapatatosha hapa.
 
Usije ukasema na mimi ni muhaya. Tafadhali sana.
 
1.Kwa nn mkoa wa Kagera wamechelewa kuwa na UNIVERSITIES?
2.Kwa nn Bukoba hapajajengwa kufikia hadhi ya kuwa CITY?
3.Kwa nn wahaya ni waoga? hata kiutendaji!! na
4. Kwa nn mabinti wa kihaya wamekuwa makahaba wa kutolea mifano? ....................
 
1.Kwa nn mkoa wa Kagera wamechelewa kuwa na UNIVERSITIES?
2.Kwa nn Bukoba hapajajengwa kufikia hadhi ya kuwa CITY?
3.Kwa nn wahaya ni waoga? hata kiutendaji!! na
4. Kwa nn mabinti wa kihaya wamekuwa makahaba wa kutolea mifano? ....................

Duh hiyo number nne unaweza kutupatia ushahidi usiokuwa na makengeza.
 
Back
Top Bottom