Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Daktar yupo sahihi kwa 70% kwa sababu vyakula alivyotaja ndio chakula cha Ubongo.


Kuhusu ww kula.. Hiyo ni kitu ni mchakato wa muda mrefu..kama hukuvipata wakat wa miaka mitano yako ya utoton.. Usijisumbue !!!


Kwaufupi, Watu wanaokula sana Samaki, Ndizi na vyakula vya Asilini toka mwaka 0 wake NI AKILI YAKE HUWA NI KUBWA, kwa mantiki hiyo Watu wa Kanda ya ziwa wana akili !!.
Wachaga wamo wamo kwasababu ya Ndizi wakulazo

Pili Wahaya na wachaga ni watu ambao walipata bahat ya kuelimishwa na Wazungu kutokana na HALI YA HEWA , ivi wazungu walikua wakianzisha shule mapema ktk haya maeneo.


Nikweli kabisa, km unataka mwanao awe aliyoko tombon ,na azaliwe na awe mwenye akili, Hakikisha unaenda clinic pamoja na mkeo, mpewe ushauri wa uaandaaji wa lishe ya Mama na lishe ya mtot........

Maelezo ni mengi !!!!!
 
Wahaya ndio kila kitu wengine mnajikongoja.Acha kabisa.Aione kyanaKyoMuhaya ,ekibira_ishengo
Siku hizi, Mmebakiwa na misifa tu.

Mmesoma lkn chakushangaza toka mpate uhuru HAMNA CHUO KIKUU KAGERA !!

Mmeishia kuishi nyumba za kupanga tu Town hapa, lkn tukienda vijijin kwenu bado wazazi wenu wanalala kwa nyasi.,, majan ya migomba, wanajisaidia vichakan .


Sifa mnazo Town..ila kwenu HAMNA KITU[emoji109]
 
Hili lina ukweli angalia makabila yote yenye uhakika wa kubadilisha mlo penye ardhi nzuri wanaopata vyakula vya freshi wana akili nyingi
Chunguza Kilimanjaro, Kagera, Mbeya, Mara na Wasukuma waliopo Kanda ya ziwa
SIO KWELI

Kwani akili inakaa kwenye kabila la mtu?

Wahaya walipata bahati au neema ya kupata elimu mapema kabla ya watanzania wa kabila zingine kwasababu wamisionari walijenga makao kule mapema.

Ndio maana udadi ya wasomi kwao ni kubwa na wanapenda kusoma ila sio kwamba wana akili kuliko watu wengine.

Makabila mengine waliopata elimu mapema ni Wachaga na wanyakyusa.
 
Janaa wanaongoza kuwa na Maprofesa wengi angalia chuo kama UDSM, SUA & MZUMBE hata PHD Holders wanao wakutosha kuliko kabila lolote la Tz sababu ni kwamba wakati wa Ukoloni jamaa walipata advantage ya kuwahi kutangulia kusoma shule alafu wasomi wao baada ya kupata elimu hawakuwa wenye kuzambaa ovyoovyo hususani walimu walikuwa wanarudi nyumbani kufundisha

Jambo hili limechangia sana jamaa kuwa mbele kitaaluma lakini upande wa pili pamoja jamaa kuwa wasomi sana mkoa wao wa Kagera upo nyuma kiuchumi ni katika mikoa maskini sana hakuna miondombinu nzuri, sio kitovu cha biashara wanachi wake wengi ni masikini sijaona impact ya elimu yao ktk kuendeleza Uchumi wa mkoa wao
 
Kama wana akili mbona wanajiuza (wanauza papuch) pale sudani kwa bei ya rejareja ? Wasitutoshe. Akili ni nywele kila mtu ana zake?
 
Yani maoni mengi yamechanganyikana na wivu pia ila ukweli wahaya wako vizuri.
 
Kusoma sana sio kujiletea Maendeleo, ni uoga wa maisha tu.

Elimu inatakiwa ikufungue ukapambane na fursa zinazokuzunguka na zinazozunguka jamii yako. Kabila kuwa na maprof na PhD holders wengi wakati kwao kila kitu wanashika mkia hapa Tz inatakiwa wajichunguze kama hiyo elimu imewasaidia chochote..
 
Kama aliyetoa hayo maoni ni mhaya then sioni kama Kuna haja ya kuumiza kichwa bali kumpuuza tu! Pride is the mother of arrogance!! Ni mhaya gani kafanya lolote ambalo unaweza sema kwamba,"Huyu mtu kichwa!". Kugundua katerero au?
Maxence mujwahuzi melo
 
Hapo kwenye swala la nyumba (makazi bora) umepotoka. Vijiji vya Bukoba vimezingirwa na mijengo ya hatarii
 
Umeandika upuuzi wa hali ya juu...karne ya sasa bado unakweza ukabila??...usitumie nguvu kubwa kujustify maoni yako hapo juu..relax watu wenye akili wanajulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…