Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Kwa nini basi Inchi yetu hainufaiki kiuchumi na Wahaya hawa.
Mara nyingi watu wenye akili nyingi siyo watendaji kazi/watawala wazuri.
Rais moja mzungu mstaafu wa Afrika Kusini aliwahi kusema " The most inteligent black African can not think beyond one year"
Huu utafiti ulimfanya apewe PHD.
Hatuoni ufahari kwa mtu kuwa na akili nyingi lakini akawa mchoyo kutumia hiyo akili yake kwa manufaa ya wengi.
 
Wahaya nikwali wanaogazi uzizi nawaoba sana vijana wezagu usikosee kuowa mimi musukoma siku moja nilieda bukoba kufanya kazi nikapata musichana wakihaya kirich nikuta dar nilikuwa noma sana nilimuta na jama yupo nae dani hadi leo hii sitaki kuwa na muke muhaya

Hahahah
 
Nimepata sehem research inayoonesha yafuatayo
Shuleni
1.Kila darasa ambalo kuna mchanganyiko wa wahaya top three mmoja lazima awe muhaya, we we utakaye changia hapa utakuwa shahidi hata kama huwapendi watani zangu
Fact
.Best student udsm 2005 - Benson kagashe
. Best student 2009 Mr denice byarushengo
. best student udsm 2014. Mr William pascal
. best student coet udsm 2015 mr Almachius Kahwa.

Mifano midogo tu, katika miaka 20 iliyopita chuokikuu kikubwa udsm kimepata best student kabila LA wahaya 12 ,

International organization
1. Texas power chief operations - Wellington kamala
2. IMF africa representative - Delphine rwegasira
3. Rweyemamu prize , a prize established by Harvard university for higher scorers, this was due to high performance of Justinian Rweyemamu. Father of Tanzania economics who influenced jakaya kikwete and lipumba to be economic scholars
4. James kateka from bukoba, general chairman of lawyers in the world, scholar Harvard university,
5. James rugemalila general manager of VIP engineering, academician,
6. Florian rugambwa the first bishop and cardinal in africa
7. Fr. Fidon Mwombeki chairman of UEM ( kiongozi wa kanisa la Lutheran dunian)
8. Babyegeya mutegeki , member of board of nuclear , USA
9. SIR GEORGE KAHAMA, the only sir in africa , alitoa ushauri positive kwa malikia akampa u sir

NDANI YA NCHI
KILA TAASISI YA SERIKALI NA BINAFSI ,

Maprofessa na wahadhiri wa vyuo vikuu
Wahaya kadhaa wamefundisha vyuo vikuu mahiri duniani
Mfano
A. Harvard university- Justinian Rweyemama 1970's
B. Mwesiga baregu , kabla hajarudi Tanzania alikuwa Harvard university,
C. Fransis Kateka Oxford
D. Prof kaijage , University of Birmingham
E. Mark rweyemamu director of GALv

Pia general education forum imeeleza idadi ya maprofessa w tanzania kuwahi kutokea ni 386 mpaka mwaka 2013
Mparofess 172 walitambulika kutoka kagera Bukoba direct , achilia mbali ambao hawakutumia majina yao mengine, na kati ya hao 172 , maprofesa 150 walitokea Tarafa ya kiziba,

Kwahiyo sehem nyingine za Tanzania zikawa na hao waliobaki

Kabla ya kuja kwa wakoloni mkoa kagera ulikuwa na shughuli zake za bunge zilizoendeshwa katiks wikaya ya Bukoba mjini, halikuitwa binge direct ila ilikuwa ni vikao vya wakama kila mwezi vinaendeshwa sehem inahitwa ACHEMBA rwamishenye, watu wakule wanapajua, vikao vimeendelea mpaka mwaka 1963 nyerere akaona vitachanganya wananchi akafuta, lakini wakolon walishangaa kuona shughuli za bajet, sheria na uchaguzi wa viongozi vikifanywa kama wakivyokuwa wanafanya ulaya, hii wamesema wameiona kwa wahaya na wakikuyu, ambapo machief watarafa saba wanakutana kufanya kamati mbali mbali.

TAASISI ZA SASA
-katika taasisi 10 manager 4 ni wahaya
TPB- leticy Rutashobya mkurugenzi mkuu
TPA - mwanasheria mkuu mr Rugazia
TFF- Dionize malinzi
TIC- madam Kairuki( katumbuliwa juzi)
NIC - Israel kamuzora
UDSM- prof mukandara
CRD- Consolatha ngimbwa general manager
NBC : Pius tibazarwa MD
TTCL: Kamugisha kazaula
UHAMIAJI: MR mikinga

Mashirika yapo mengi hawa watu wanachomekana au wanasifa husika?

Najua uko kuna wengine mnawajua wawekeni hapa tudhihirishe kama aliyeandika kitabu cha HAYA THE MOST INTELLIGENT PEOPLE IN AFRICA FOLLOWED BY KIKUYU IN KENYA

Wanaoelewa zaidi mwaka 1965 mwalimu nyerere akaamua kupandisha passmark makusudi kuwa ili uchaguliwe kwenda secondary ilibidi uwe umepata alama 120 kati ya 150 , isiwe chini ya hapo maana shule zilikuwa zikijaa wahaya, hii nimeipata kwenye library hapa kwetu Mara ,

Wakati watu wengine kama Dodoma MWENYE marks 65 kati ya 150, anaenda bila shida, akikumbana na yule mwenye 120 yaan karibia Mara mbili yake ilikuwa inakuwa hatari sana , kila wakati utasikia mwanafunzi wa kwanza
- Rutashobya
- Rutatinisibwa
- Rugaimukamu
- Buberwa

Na wengine kwakuwa feather weight inashindana na heavy weight ,
Professor Mark Rweyemamu - GALVmed
Obituary Prof. Kami S.P. Rwegasira, PhD
Valentine Rwegasira | Duncan Lewis | Immigration Solicitor | Dalston
Rwegasira, D. G. [WorldCat Identities]
Manzi Rwegasira | NMB Bank | ZoomInfo.com

Dar feels the pinch of global financial crisis

WAHAYA!
NSHOMILE!
Hakuna Ukweli kuwa Wahaya wana AKILI Kuliko Makabila Mengine! Hii ni Myth nyingine inayowafanya watu fulani wajione bora kuliko wengine.
UKWELI NI HUU HAPA KUHUSU WAHAYA KUSEMWA WANA IQ KALI A.K.A NSHOMILEEE.
Wahaya ambao wameaminika kuwa ni wasomi sana(Nshomile) ni kwa sababu za Kihistoria hasa zilizosababishwa na Mazingira.
1. Ni kabila ambalo ni Majisifu Sana (A very Proud Tribe) - Ndivyo walivyo! Ni watu wakujiinua na Kujipaisha sana.
Kabla ya Kuja Wageni( Wazungu) Wahaya walishiriki biashara za Masafa Marefu na makabila mengine hasa Wasumbwa waliotokea pande za kahama.
Wasumbwa walikuwa maarufu kwa kuwaletea Chumvi wahaya! Walipochukua chumvi Wahaya walikejeli kwa kusema - Umunyu Njunura Abashumbwa Banunka - Wakimaanisha Chumvi ni Nzuri (Tamu) Lakini Wanaoileta Wananuka!
Hivyo Majisifu ni Hulka Zawa ya wahaya.

2. Kwanini wametokea Kuwa na Wasomi wengi ndani na Nje ya nchi?
Mpaka kufikia 1870s Wahaya waliishi kwa kuabudu na Kuheshimu mila na desturi zao katika ardhi nzuri sana! yenye rutuba, mvua za uhakika pamoja na utulivu,wakilima ndizi( Matoke) na maharage(Ebinjanjara).
Kuja kwa Wamishionari na Wakoloni katika ardhi ya Wahaya kulibadili kabisa Historia ya Wahaya mpaka leo.
Wakoloni waliwalazimisha wahaya kulima KAHAWA kwa nguvu! kwa Imani ya Wahaya walikuwa na miungu ya ardhi na Majini (Mugasha).Haikupaswa kuudhiwa au kukosewa kwa jambo lolote lile! Kulima zao tofauti na Ndizi ni kumuudhi mungu wa ardhini! wakauvunja mwiko huo kwa lazima wakalimishwa kulima kahawa mpaka leo!

Wamisionari wakajenga shule! wakalazimishwa kusoma! hawakupenda kusoma mara ya kwanza! Lakini walijiuliza wanapambanaje na Wakoloni na Elimu ya Kikoloni? Je wakimbie? Waende wapi?Waache ardhi nzuri yenye rutuba na mvua za uhakika? wakaamua kubakia na kufuata maelekezo ya Wakoloni ikiwa pamoja na kupeleka watoto shule kwa lazima (Passive resistance and sometimes no resistance at all).
Muda mchache wakaona uzuri wa shule! wakakazana wakaona fursa ambayo makabila mengine waliikimbia(sukuma na nyamwezi) toka hapo wakawa vinara wa kusoma na kusomesha! ( They invested earlier in education when compared to other tribes in Tanzania).
Nadhani tunakubaliana kuna wahaya wajinga kama wanyiramba na wakurya! IQ is not a tribal thing, IQ is randomly dispersed in every tribe!
Nadhani kuna Maprofesa Wachaga,wapare na Wasukuma na n.k.
Ukweli ni kwamba waliwahi kwenda shule!ukiongeza na hulka yao ya Kujipaisha juu! Hakuna swali! Waliowahi kwenda shule wakasomesha watoto wao kwa nguvu na wao wakasomesha kizazi chao hivyo hiyo sio IQ! hiyo ni fursa waliyoiwahi,wakati wengine wanachunga mbuzi.
Nawasilisha.
 
WAHAYA!
NSHOMILE!
Hakuna Ukweli kuwa Wahaya wana AKILI Kuliko Makabila Mengine! Hii ni Myth nyingine inayowafanya watu fulani wajione bora kuliko wengine.
UKWELI NI HUU HAPA KUHUSU WAHAYA KUSEMWA WANA IQ KALI A.K.A NSHOMILEEE.
Wahaya ambao wameaminika kuwa ni wasomi sana(Nshomile) ni kwa sababu za Kihistoria hasa zilizosababishwa na Mazingira.
1. Ni kabila ambalo ni Majisifu Sana (A very Proud Tribe) - Ndivyo walivyo! Ni watu wakujiinua na Kujipaisha sana.
Kabla ya Kuja Wageni( Wazungu) Wahaya walishiriki biashara za Masafa Marefu na makabila mengine hasa Wasubwa waliotokea pande za kahama.
Wasumbwa walikuwa maarufu kwa kuwaletea Chumvi wahaya! Walipochukua chumvi Wahaya walikejeli kwa kusema - Umunyu Njunura Wabashubwa Banunka - Wakimaanisha Chumvi ni Nzuri (Tamu) Lakini Wanaoileta Wananuka!
Hivyo Majisifu ni Hulka Zawa ya wahaya.

2. Kwanini wametokea Kuwa na Wasomi wengi ndani na Nje ya nchi?
Mpaka kufikia 1870s Wahaya waliishi kwa kuabudu na Kuheshimu mila na desturi zao katika ardhi nzuri sana! yenye rutuba, mvua za uhakika pamoja na utulivu,wakilima ndizi( Matoke) na maharage(Ebinjanjara).
Kuja kwa Wamishionari na Wakoloni katika ardhi ya Wahaya kulibadili kabisa Historia ya Wahaya mpaka leo.
Wakoloni waliwalazimisha wahaya kulima KAHAWA kwa nguvu! kwa Imani ya Wahaya walikuwa na miungu ya ardhi na Majini (Mugasha).Haikupaswa kuudhiwa au kukosewa kwa jambo lolote lile! Kulima zao tofauti na Ndizi ni kumuudhi mungu wa ardhini! wakauvunja mwiko huo kwa lazima wakalimishwa kulima kahawa mpaka leo!

Wamisionari wakajenga shule! wakalazimishwa kusoma! hawakupenda kusoma mara ya kwanza! Lakini walijiuliza wanapambanaje na Wakoloni na Elimu ya Kikoloni? Je wakimbie? Waende wapi?Waache ardhi nzuri yenye rutuba na mvua za uhakika? wakaamua kubakia na kufuata maelekezo ya Wakoloni ikiwa pamoja na kupeleka watoto shule kwa lazima (Passive resistance and sometimes no resistance at all).
Muda mchache wakaona uzuri wa shule! wakakazana wakaona fursa ambayo makabila mengine waliikimbia(sukuma na nyamwezi) toka hapo wakawa vinara wa kusoma na kusomesha! ( They invested earlier in education when compared to other tribes in Tanzania).
Nadhani tunakubaliana kuna wahaya wajinga kama wanyiramba na wakurya! IQ is not a tribal thing, IQ is randomly dispersed in every tribe!
Nadhani kuna Maprofesa Wachaga,wapare na Wasukuma na n.k.
Ukweli ni kwamba waliwahi kwenda shule!ukiongeza na hulka yao ya Kujipaisha juu! Hakuna swali! Waliowahi kwenda shule wakasomesha watoto wao kwa nguvu na wao wakasomesha kizazi chao hivyo hiyo sio IQ! hiyo ni fursa waliyoiwahi,wakati wengine wanachunga mbuzi.
Nawasilisha.
Nyie wenye uelewa duni ndio huwa mnajipoza kwa kusingizia vitu visivyoleta mantiki kabisa.
Ukisema walianza kupewa elimu na wakoloni, mbona mambo yote mazuri ya wazungu yalianzia mikoa ya Pwani hasa Bagamoyo na Tanga?
Kuna Wilaya moja hapa nchini, haikuwahi kuwa na shule ya sekondari mpaka miaka ya 1980s walipopata ya private huku ya Serikali ikijengwa 1990s. Waulize kielimu wako wapi, utabaki kinywa wazi.
Mnakimbilia kudai sijui wazungu waliwahi kujenga shule, shule gani hizo kama vichwa ni empty zitakuwa magofu tu.
Angalieni shule za sekondari za kata zimejengwa nchi nzima. Fuatilia matokeo ya Form IV utaona kama kuna tofauti ya kufeli kwa makabila ya Tanzania toka miaka ya nyuma kabla ya shule hizo na sasa. Mmekumbuka mwaka jana kulikuwepo kihoro nchini baada ya Mkoa wa Mtwara kuingiza shule Saba za sekondari katika top ten ya shule zilizofeli vibaya, was it just a coincidence?
 
Kwa hiyo Uelewa Mkubwa ni kukubali Wahaya wana Akili sana? Soma tena! ya Mtwara na Shule za Kata na Mikoa ya Pwani ni Kivuli unachotengeneza kutetea Akili za Wahaya!
 
Sitetei bali ukweli hujitenga na uongo. Nimetoa objective analysis ambayo ndiyo muhimu kupata ukweli. Binadamu tumetofautiana kiakili kwa mmojammoja na tumetofautiana uwezo wa kiakili kwa kifamilia, kiukoo, kikabila, kitaifa na kirangi.
Fuatilia vizuri kwenye Kabila lako koo zake, lazima kuna ukoo wenye wasomi wengi kuliko mwingine kama ambavyo utakuta kijiji, kata ama tarafa kikiwa na wasomi wengi kuliko kwingine.
Ukikusanya darasa la wanafunzi 100 walioshika nafasi za mwisho kwenye shule 100 katika kabila A lazima litatofautiana na wanafunzi 100 wa mwisho kwenye shule 100 za Kabila B.
 
He wahaya mnamatatizo gani kama mnaakili mbona hamna hela mnapitwa hadi na wasambaa
 
Biological watiti wanarithi vitu vingi kutoka kwa wazazi wao ikiwemo akili. Hivyo sio ajabu wahaya kuwepo wengi sehemu za elimu kwani ni urithi.
 
Sitetei bali ukweli hujitenga na uongo. Nimetoa objective analysis ambayo ndiyo muhimu kupata ukweli. Binadamu tumetofautiana kiakili kwa mmojammoja na tumetofautiana uwezo wa kiakili kwa kifamilia, kiukoo, kikabila, kitaifa na kirangi.
Fuatilia vizuri kwenye Kabila lako koo zake, lazima kuna ukoo wenye wasomi wengi kuliko mwingine kama ambavyo utakuta kijiji, kata ama tarafa kikiwa na wasomi wengi kuliko kwingine.
Ukikusanya darasa la wanafunzi 100 walioshika nafasi za mwisho kwenye shule 100 katika kabila A lazima litatofautiana na wanafunzi 100 wa mwisho kwenye shule 100 za Kabila B.
I RESPECT YOUR OPINION! WAITU! I AGREE TO DISAGREE WITH YOU SIR."Mgambilwa ni mntu"
 
Mna maana hata "Sirimu" ilitumia IQ kubwa kuibukia kwa wenye IQ kubwa si ndio?

Ngojeni nijongee kwa waaya hapa temeke, naamini na hii inapongezeka si ndio?
 
Nyie wenye uelewa duni ndio huwa mnajipoza kwa kusingizia vitu visivyoleta mantiki kabisa.
Ukisema walianza kupewa elimu na wakoloni, mbona mambo yote mazuri ya wazungu yalianzia mikoa ya Pwani hasa Bagamoyo na Tanga?
Kuna Wilaya moja hapa nchini, haikuwahi kuwa na shule ya sekondari mpaka miaka ya 1980s walipopata ya private huku ya Serikali ikijengwa 1990s. Waulize kielimu wako wapi, utabaki kinywa wazi.
Mnakimbilia kudai sijui wazungu waliwahi kujenga shule, shule gani hizo kama vichwa ni empty zitakuwa magofu tu.
Angalieni shule za sekondari za kata zimejengwa nchi nzima. Fuatilia matokeo ya Form IV utaona kama kuna tofauti ya kufeli kwa makabila ya Tanzania toka miaka ya nyuma kabla ya shule hizo na sasa. Mmekumbuka mwaka jana kulikuwepo kihoro nchini baada ya Mkoa wa Mtwara kuingiza shule Saba za sekondari katika top ten ya shule zilizofeli vibaya, was it just a coincidence?
Wewe una matatizo ya uelewa wa IQ, huwezi kuwapambanisha watu walioko kwenye mazingira tofauti, kimalezi, kiuchumi nk,,,, unadhani mtoto wa uchagani na umakondeni wa shule za kata wote hupata fursa sawa toka shuleni hadi majumbani mwao ktk swala zima la elimu? Kama wahaya walilazimishwa kusoma miaka ya 1800 leo hii kuna jamii tunazilazimisha zisome, matokeo ya watoto wa jamii hizo hayawezi kuwa ni vipimo vya IQ zao.

Mfano, unadhani mtoto wa Mtwara na Bukoba kwenye elimu ya Quran yupi yuko juu, je ni IQ au mazingira tu? Au kwako IQ au elimu ni ile tu unayoipata ktk madarasa ya kizungu? Vipi wale wenye elimu juu ya nyota na mienendo ya bahari hata kabla ya ujio wa wazungu?

Kuna mengi ya kuzingatia ktk hili, sio tu kwa kigezo hicho finyu. Kuna T. O alitokea ktk shule za kata, je alikuwa ni muhaya?
 
Sitetei bali ukweli hujitenga na uongo. Nimetoa objective analysis ambayo ndiyo muhimu kupata ukweli. Binadamu tumetofautiana kiakili kwa mmojammoja na tumetofautiana uwezo wa kiakili kwa kifamilia, kiukoo, kikabila, kitaifa na kirangi.
Fuatilia vizuri kwenye Kabila lako koo zake, lazima kuna ukoo wenye wasomi wengi kuliko mwingine kama ambavyo utakuta kijiji, kata ama tarafa kikiwa na wasomi wengi kuliko kwingine.
Ukikusanya darasa la wanafunzi 100 walioshika nafasi za mwisho kwenye shule 100 katika kabila A lazima litatofautiana na wanafunzi 100 wa mwisho kwenye shule 100 za Kabila B.
Je hao wote walikuwa na mazingira sawa ya kujifunzia tangu nyumbani na shuleni? We mtoto wa mwalimu na wa mchunga ng'ombe unadhani ni kawaida kuwa sawa? Watoto wengi wa wasomi huwa wasomi bila kujali makabila yao, huoni kuwa jamii iliyoanza kupata elimu awali ni kigezo kikubwa ktk nadharia yako hii? Hujui gap kati ya yale makabila makubwa kiusomi (wahaya, wachanga na wanyakusa) linapungua, siku hizi degrees ziko hadi Manamba na Usukumani tena vijijini.
 
Biological watiti wanarithi vitu vingi kutoka kwa wazazi wao ikiwemo akili. Hivyo sio ajabu wahaya kuwepo wengi sehemu za elimu kwani ni urithi.
Kwani elimu maana yake ni nini au hii mitaala ya ki western tu? Mi najua elimu ni zaidi ya hapo, mmasai ana elimu juu ya ufugaji na mkerewe juu ya uvuvi na mmafia juu ya mienendo ya bahari, zote hizi pia hutolewa ktk mitaala ya kimagharibi.... Tena ina vyuo kabisa spesho, mfano chuo cha uvuvi, kilimo na mifugo.
 
Uzuzu kabisa, haya basi wahaya mna akili sana, vitu vyote duniani mmevumbuwa, hata wakoloni mliwafukuza nyie, kila kitu mmefanya nyie, kiswahili na kiingereza mmevumbuwa nyie, sisi bure..
 
Wewe una matatizo ya uelewa wa IQ, huwezi kuwapambanisha watu walioko kwenye mazingira tofauti, kimalezi, kiuchumi nk,,,, unadhani mtoto wa uchagani na umakondeni wa shule za kata wote hupata fursa sawa toka shuleni hadi majumbani mwao ktk swala zima la elimu? Kama wahaya walilazimishwa kusoma miaka ya 1800 leo hii kuna jamii tunazilazimisha zisome, matokeo ya watoto wa jamii hizo hayawezi kuwa ni vipimo vya IQ zao.

Mfano, unadhani mtoto wa Mtwara na Bukoba kwenye elimu ya Quran yupi yuko juu, je ni IQ au mazingira tu? Au kwako IQ au elimu ni ile tu unayoipata ktk madarasa ya kizungu? Vipi wale wenye elimu juu ya nyota na mienendo ya bahari hata kabla ya ujio wa wazungu?

Kuna mengi ya kuzingatia ktk hili, sio tu kwa kigezo hicho finyu. Kuna T. O alitokea ktk shule za kata, je alikuwa ni muhaya?
Ndugu usinielewe vibaya, hakuna Kabila lenye watu wenye akili pekee wala lenye watu wasio na akili pekee. Nina uhakika umesoma vyema Hisabati na matumizi ya neno wastani "mean." Ndiyo maana huwa inachukuliwa kiwastani tu.
Wewe unakimbilia kuleta mambo ya kidini hapa lakini mimi nakuthibitishia kisomi kuwa, wanaofanya vyema kwenye elimu ya kiislamu bado siyo Wamakonde ama wale wa Pwani bali ni Wanyakyusa wa Tukuyu (Bagamoyo); Wahaya wa Bukoba, Kamachumu na Muleba; Waha wa Buhigwe, Kigoma na Kasulu; Wachaga wa Moshi, Hai, Vunjo na Rombo; na Wasambaa wa Bumbuli, Lushoto na Korogwe na Waluguru wa Matombo (Morogoro).
Waulize wenye ufahamu watakuambia kama siyo kweli?
Kuamini kuwa, baadhi ya makabila yanafanya vyema darasani kwa kuwa wazungu walianza huko ni kujichelewesha kukubali ukweli.
 
Back
Top Bottom