Wanapenda kazi ya ualimu kama jinsi Wakurya wanavyopenda kazi ya Jeshi na Polisi, full stop.
Hebu tuje kwenye Sheria sasa.
Hiv unajua kuna wanasheria wangapi wahaya? Mawakili je?
Bila Shaka unamfahamu jaji Rweyemamu wa mahakama kuu.je jaji Themistocles kaijage? Na wengine kibao.
Njoo kwenye afya sasa mkuu wa hospital ya bugando na pale 60 % ni wahaya.njoo kairuki hospital inamilikiwa na wahaya yote.muhimbili ,na hospital kibao nenda muhas utazame wanafunzi wahaya.
Njoo kwenye sekta ya Ardhi sasa hebu njoo Ardhi university angalia idadi kubwa ya wanafunzi, maafisa wa Ardhi .
Masurveyors naongelea hapa kwa sababu na Mimi ni surveyor.
Njoo mainjinia sasa bila Shaka unamfahamu Tanroads,na makampuni makubwa ya ujenzi abemulo enterprise na mengine mengi kama luganuza
Njoo sekta ya biashara sasa ambayo Tukianza na Waziri wake Kwanza bashungwa.njoo kwenye matajiri wakubwa bongo kama ally mfuruki ambaye yupo top ten Kwa matajiri ndo mtu pekee mweusi aliyebaki baada mengi kufariki.
Njoo kwenye dini sasa hasa Catholic kama unavyojua asilimia tisini ya wahaya ni wakatoliki ( ndo maana majina Yao mengi huishia na us) Jimbo la Bukoba ndo lenye mapadre wengi wazawa kuliko yote
Kardinali wa Kwanza mweusi no muhaya ujue pia na mapadre wa Kwanza tz ni wahaya
Lakini hata mapungufu tunayo maana biashara na mambo mengi yameanzisha na wahaya ukija kwenye mziki WA asili na mziki wakina Ruge.hata biashara ya sinza mori, ukimwi nk yote yalianzia uhayani hii yote Kwa sababu ya exposition kubwa iliyopo uhayani.