Haya chukueni hii mbichi kabisa na ya uhakika kwanini ghafla Dogo karudishwa japo Rais alikubali aache ili Rafiki yake arejee Kitini

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Baada tu ya Dogo kubwaga Manyanga ghafla Simu Nne Kubwa zilipigwa Kwake moja kutoka kwa mwana Bagamoyo kwa niaba ya Baba, ya Singida, ya Dodoma na ya Zanzibar kwa mwenye Timu yake katika Karatasi na Kumhoji kulikoni ndipo Dogo nae akafunguka mazito yafuatayo......

1. Boss Mkuu hamtaki kwakuwa Rafiki yake sasa yuko Huru
2. Mwalimu walipokuwa kwa Hayati Mandela alisema havutiwi nae kwa anavyoinadi Shule yao
3. Kutishiwa kufanyiwa Ushirikina na Marafiki wawili wakubwa wa Adui Mkuu aliyerejea
4. Kila akitaka kujua kuhusu Mkataba wake kama utaongezwa au hapana anaambiwa Subiri na Dharau juu

Baada ya Dogo kufunguka hayo pamoja na lile la Kuvalishwa Bomu ( Uchawi ) ambalo kidogo liondoke mazima na Roho yake wakati Chama likiwa katika Mechi muhimu za Kimataifa na Kuahidiwa Fedha nyingi ambazo hadi sasa anazidai Watu hao Tajwa wanne walimpigia Simu Boss Timu na kumwambia kama anataka nae pia Umaarufu wake ushuke mara moja na awe wa kawaida kama GENTAMYCINE basi akubali Dogo aachie Ngazi ila Wao wanataka kuona Dogo anabakia Kundini kwani wanaona kafanya mengi na bado anaenda kufanya mengi.

Hivyo baada ya Biti hilo Kali la wenye Yanga SC yao Boss Timu nae Akaufyata na haraka sana Kuamuru Mkataba uandaliwe upesi sana na Dogo asainishwe na ikawa hivyo. Hata hivyo Ukweli utabaki pale pale kuwa Boss Timu hamkubali Dogo kwakuwa Yeye na Tajiri Tabasamu muda wote ni Marafiki wakubwa sana na Adui Mzungu Pori aliyerejea Kundini hivi karibuni.

Kitu pekee cha Dogo Kushukuru ni kwamba aliweza Kujipambanua mapema sana na Adui Mzungu Pori ambacho kilimtomfautisha nae na kuwafanya hadi alionao katika Nyumba yao Kumpenda, Kumkubali na Kuvutiwa nae. Hata hivyo Changamoto pekee aliyonayo sasa pamoja na Kurejeshwa ni Kukwepa mitego ya Boss Timu ili Kumkwamisha na sababu ya kuachana nae mazima ipatikane ili Rafiki yake Adui Mzungu Pori arejee pale Juu kabisa ambako ndiko anakutaka zaidi.

Matabasamu mnayoyaona na Wao Watatu ni ya Kinafiki ili kuondoa Mipasuko, ila ukweli ni kwamba kuna Vita sana.
 
Manara umri umeenda miaka 50+ ila bado anataka kung'ang'ania kazi ya usemaji tena kitoto anachoweza kukizaa. Afanye atafute shuguli ya kufanya ni anatia aibu mbaya zaidi amerudi wakati Kamwe kashatengeneza miziz anakubalika na Utopolo wote.
 
Ili msumari utoboe, ni lazima ugongwe sana.
 
Baada tu ya Dogo kubwaga Manyanga ghafla Simu Nne Kubwa zilipigwa Kwake moja kutoka kwa mwana Bagamoyo kwa niaba ya Baba, ya Singida, ya Dodoma na ya Zanzibar kwa mwenye Timu yake katika Karatasi na Kumhoji kulikoni ndipo Dogo nae akafunguka mazito yafuatayo......

1. Boss Mkuu hamtaki kwakuwa Rafiki yake sasa yuko Huru
2. Mwalimu walipokuwa kwa Hayati Mandela alisema havutiwi nae kwa anavyoinadi Shule yao
3. Kutishiwa kufanyiwa Ushirikina na Marafiki wawili wakubwa wa Adui Mkuu aliyerejea
4. Kila akitaka kujua kuhusu Mkataba wake kama utaongezwa au hapana anaambiwa Subiri na Dharau juu

Baada ya Dogo kufunguka hayo pamoja na lile la Kuvalishwa Bomu ( Uchawi ) ambalo kidogo liondoke mazima na Roho yake wakati Chama likiwa katika Mechi muhimu za Kimataifa na Kuahidiwa Fedha nyingi ambazo hadi sasa anazidai Watu hao Tajwa wanne walimpigia Simu Boss Timu na kumwambia kama anataka nae pia Umaarufu wake ushuke mara moja na awe wa kawaida kama GENTAMYCINE basi akubali Dogo aachie Ngazi ila Wao wanataka kuona Dogo anabakia Kundini kwani wanaona kafanya mengi na bado anaenda kufanya mengi.

Hivyo baada ya Biti hilo Kali la wenye Yanga SC yao Boss Timu nae Akaufyata na haraka sana Kuamuru Mkataba uandaliwe upesi sana na Dogo asainishwe na ikawa hivyo. Hata hivyo Ukweli utabaki pale pale kuwa Boss Timu hamkubali Dogo kwakuwa Yeye na Tajiri Tabasamu muda wote ni Marafiki wakubwa sana na Adui Mzungu Pori aliyerejea Kundini hivi karibuni.

Kitu pekee cha Dogo Kushukuru ni kwamba aliweza Kujipambanua mapema sana na Adui Mzungu Pori ambacho kilimtomfautisha nae na kuwafanya hadi alionao katika Nyumba yao Kumpenda, Kumkubali na Kuvutiwa nae. Hata hivyo Changamoto pekee aliyonayo sasa pamoja na Kurejeshwa ni Kukwepa mitego ya Boss Timu ili Kumkwamisha na sababu ya kuachana nae mazima ipatikane ili Rafiki yake Adui Mzungu Pori arejee pale Juu kabisa ambako ndiko anakutaka zaidi.

Matabasamu mnayoyaona na Wao Watatu ni ya Kinafiki ili kuondoa Mipasuko, ila ukweli ni kwamba kuna Vita sana.
Unaandika futuhi bwana mdogo
 
Back
Top Bottom