Haya chukueni hii mbichi kabisa na ya uhakika kwanini ghafla Dogo karudishwa japo Rais alikubali aache ili Rafiki yake arejee Kitini

Nakumbuka wiki iliyopita uliandika hapa na hasa ukimtaja Moderator Payge kuwa hutokuwa unachangia tena Mada ( Threads ) zangu hapa JamiiForums ili nisiwe Nakuripoti Kwake / Kwao na ukapewa BAN na ndani ya dakika chache ukaifuta ile Post nini kilikukumba? Je, huu Uzi uliouchangia hapa siyo wa yule yule uliyesema kuwa utaacha kusoma Mada zake?
 
Mambo yakawaida kila mmoja anakutana nayo kila siku katika maisha ya ulimwengu huu wa Utafutaji Rizki
 
Huku huwa hutuangushi na habari masuko.
 
Manara umri umeenda miaka 50+ ila bado anataka kung'ang'ania kazi ya usemaji tena kitoto anachoweza kukizaa. Afanye atafute shuguli ya kufanya ni anatia aibu mbaya zaidi amerudi wakati Kamwe kashatengeneza miziz anakubalika na Utopolo wote.
Quinine kajitesa weeee mzee comment ya tatu tu ukaamua kuifungua code yote, bila shaka Genta hajapendašŸ˜€
 
Ali kamwe ana ADABU ndo maana tumempambania ili ABAKI.huyo mzee akalee wajukuu.
Dogo ana jielewa.ana FANYA kazi yake bila matusi wala maneno ya shombo shombo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…