Haya Hapa Maeneo Yenye Wife Material Tanzania.

Mada nzuri sana, inatukumbusha jambo la msingi sana ambalo wengi huwa aidha tunalisahau au tunalipuuza

Ahsante Mleta mada.
 
Hivi kuna mikoa huwa najiuliza kwa haraka haraka unakosaje mke.....
maana wife materials wengi tu....wala hutumii nguvu kuwapata.
Kigoma
Tabora
Katavi
Tanga
Shinyanga
Iringa
Mara/Musoma
Ruvuma
Rukwa
Lindi
Singida, na Pwani ni kidogo sana......

mikoa niliyotaja hapo juu ina viwanda vya wife materials.

Mikoa hatari kabisa, hakuna wife materials kiivo ni
Mbeya
Arusha
Mwanza
Dodoma
Kilimanjaro
Kagera, bukoba
Manyara
Dar kuna 80% ya wasio na maadili.

Watu wanalilia kwa kukimbilia sehemu ambazo hata historia zao hawazijui.

bila upendeleo wowote mimi natokea mkoa ambao wife material hakuna lakini nimesema ukweli ulio kweli.
Oa kama bado mkuu
 
Huu ni ugomvi.Tulia uone kivumbi chake.
 
Mada nzuri sana, inatukumbusha jambo la msingi sana ambalo wengi huwa aidha tunalisahau au tunalipuuza

Ahsante Mleta mada.
Asante kwa hii complement, watu wakishalea vitambi dar wao wanajichukulia tu.
 
Back
Top Bottom