Tetesi: Haya hapa majina mengine katika Ripoti ya Mali za CCM (Makinikia ya CCM)

Tetesi: Haya hapa majina mengine katika Ripoti ya Mali za CCM (Makinikia ya CCM)

Kumbe bulemb* ndiye mhuni namba 1!! Ndiyo maana ialikuwa wa 1 kuchomoka toka shimoni kujaribu kurudisha mashambulizi!!
 
Kumbe hadi waziri mkuu ni jauHu
Hapa ni ccmni. Ukitaka kuelewa, rudi hatua moja tu ufike kibao kinaonyesha Mjengoni. Ukifika Mjengoni, nenda mtaa wa "TAMISEMINI AWAMU YA NNE", ndipo utaelewa huyu ni nani. Kutoka TAMISEMINI AWAMU YA NNE", utaona njia ya kichochoro iliyochongwa kiaina ndani kwa ndani ikatokezea "MAGOGONI". Kama wewe ni mfuatiliaji, tafuta clip moja "MAUZI MZEE" akishangilia mchongo kwamba "Nyuki katua kwenye mzinga wa babu, tule asali".

Umewahi kujiuliza "Nini hatma ya WIZI wa mabilioni ya fedha aliotaarifiwa na yeye kuutangaza katika 'wizara ya fedha?". Hawezi kuwajibisha wizi wala ufisadi wowote. Ukisikia anasema, ni makelele tu ya kisiasa. Hakuna kitu hapo. Ni mchongo wa uwakilishi na utetezi wa familia ile ile ya mafisadi wauza nchi.
 
1. Bulembo: Kauza shule 6 za Jumuiya ya wazazi

2. Waziri Mkuu Majaliwa: Aliuziwa moja ya shule ya wazazi na Bulembo kwa bei ya kutupwa. Kisha alipoenda kuhojiwa na kamati ya Dr. Bashiru wasaidizi wake waliwakufukuza kama mbwa

3. Lowassa: Alikwapua share za CCM katika miliki ya jumla ya Channel Ten

4. January Makamba: Alishiriki kuuza share za Halotel zilizokuwa zinamilikiwa na CCM

5. Nape Nauye: Baada ya uchaguzi Mkuu alichukua magari 3 VX mapya ya CCM

6. Shaka H Shaka: Alifoji hati ya maeneo ya UVCCM kwa kushirikiana na mwekezaji kisha kuchukua mkopo bank zaidi ya dola laki 200,000

7. Mbunge Sixtus Mapunda: Wizi wa mamilioni katika mashamba ya Igumbiro, pamoja na kufoji muhtasari ya baraza la wadhamini. Hii ni pamoja na kufoji saini za wajumbe wa baraza hilo na aliyekuwa Mwenyekiti Dr. Nchimbi

8. Jumuiya ilioongoza kwa ubadhirifu ni ya Wazazi ikifuatiwa na jumuiya ya Vijana (UVCCM)

9. Baadhi ya wahusika kupandishwa kizimbani kuanzia wiki ijayo June, 2018 akiwemo Shaka na Sixtus Mapunda

10. Makatibu wa mikoa zaidi ya 10 wa Chama wahusika na ubadhirifu wa kufa mtu

11. Makatibu wa mikoa 8 wa UVCCM wahusika na ubadhirifu wa kufa mtu

NB: Dr. Bashiru ameapa kuwawajibisha kila mmoja aliyeonekana hata katika page moja ya karatasi.

Ripoti mali za CCM; Mwakyembe, Bulembo, Shaka (UVCCM), Sixtus Mapunda, Makatibu 11 wa Mikoa hawachomoki

=====

UPDATE:

Juni 05, 2018

View attachment 794406
Eti Abanwa na Kuirejesha chap chap Mr. Muongo
 
Pole January Makamba naona umetafutwa sana..now umepatikana.. wachache watalijua hili. Ulikuwaga mbunge mzuri tu..
Hivi huyu kapona, Nape mac kurudisha nasikia lile line hilux walimpokonya akiwa kwenye sherehe
 
Back
Top Bottom