NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Ikumbukwe tu CAF walishwahi kuipiga Rungu Simba SC kwa tuhuma za kuchoma uwanja na kujihusisha na vitendo vya kishirikina huko south Africa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MBONA UMEJIBU KWA HASIRA SANAWatu wa utopolokwinyo hua hamtaki kukubali kwamba Simba inashinda mechi zake kihalali hiyo ndio shida yenu, yani kila Simba akishinda mnakuja kuanzisha vimada vyenu humu Simba kabebwa au karoga chomoeni huo mwiko nyuma akili ziwakae sawa
BADO SIJALA UNATAKA NIKULE WEWE?!Daaah.... Yanga mwenzangu naona hata sisi Yanga wenzio tumeku ignore. Pole watu kwa sasa wana mambo mengi. Endelea kukusanya kusanya. Umeshakula? Ule kwanza. Mambo ya Ngoswe mwachie Ngoswe
Tafuta kazi za kufanya,unafungua uzi kila baada ya dakika 5. Imekuuma sana simba kushinda?? Kunywa maji mengiIkumbukwe tu CAF walishwahi kuipiga Rungu Simba SC kwa tuhuma za kuchoma uwanja na kujihusisha na vitendo vya kishirikina huko south Africa.
Ndo maana pole dogo. Tafuta kazi. Usipokula unaliwa. Tafuta kazi ili tusionekane Yanga wote ni vilaza.BADO SIJALA UNATAKA NIKULE WEWE?!
Msamehe. Anaishi kwa dada yake. Hana la kufanya. Huyu ndo ilikuwa tumbebeshe mikoba siku ile ya match yetu. Basi tu.Tafuta kazi za kufanya,unafungua uzi kila baada ya dakika 5. Imekuuma sana simba kushinda?? Kunywa maji mengi
POLE SANA MKUU USICHOKIJUA NI KAMA USIKU WA KIZA.Tafuta kazi za kufanya,unafungua uzi kila baada ya dakika 5. Imekuuma sana simba kushinda?? Kunywa maji mengi
DAH KUMBE KULIWA NI MUCHEZO YAKO?!Ndo maana pole dogo. Tafuta kazi. Usipokula unaliwa. Tafuta kazi ili tusionekane Yanga wote ni vilaza.
Unacho kifanya ni ushabiki wa kipumbavu, kila baada ya muda unaweka uzi kuiponda simba kuhusu mchezo wao wa jana,huo ni utoto. Hata kama unaipenda yanga siyo kwa ujinga unao onyesha hapa.POLE SANA MKUU USICHOKIJUA NI KAMA USIKU WA KIZA.
Majini yanakuchanganya wewe utopolo.Ikumbukwe tu CAF walishwahi kuipiga Rungu Simba SC kwa tuhuma za kuchoma uwanja na kujihusisha na vitendo vya kishirikina huko south Africa.