NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #21
SIWEZI KUBADILIKA KWENYE UKWELI.Unacho kifanya ni ushabiki wa kipumbavu, kila baada ya muda unaweka uzi kuiponda simba kuhusu mchezo wao wa jana,huo ni utoto. Hata kama unaipenda yanga siyo kwa ujinga unao onyesha hapa.
Jaribu kubadilika.
TIMU INAFANYA ULOZI TUSIONGEE?!
DAH SUALA LA KUANDIKA KILA MUDA BANDO NI LANGU.