NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #21
SIWEZI KUBADILIKA KWENYE UKWELI.Unacho kifanya ni ushabiki wa kipumbavu, kila baada ya muda unaweka uzi kuiponda simba kuhusu mchezo wao wa jana,huo ni utoto. Hata kama unaipenda yanga siyo kwa ujinga unao onyesha hapa.
Jaribu kubadilika.
KAMA WALIYOTUPIWA JWANENG GALAXY FC SIKU YA JANA.Majini yanakuchanganya wewe utopolo.
HATARI SANA MKUUSoka la kichawi uwanja wa mkapa
[emoji16]Unataka tukusaidieje???
Pambana na Makirikiri yako
UNATAKA TUSISEME UKWELI KUWA MNATUMIA NDUBA [emoji16]Kumbe nakusifiaga una akili kumbe ndo wale wale..huna akili...
Sisi sio nyie mpka msemaji akazima...UNATAKA TUSISEME UKWELI KUWA MNATUMIA NDUBA [emoji16]