Haya hapa ndio makabira 125 Tz , je we uko namba ngapi hapo

Uarushani ni pande zipi mkoani Kilimanjaro? Nataka nikafanye utafiti fulani huko!
 
Hakuna makabila 125+ Tanzania.ni propaganda tu.

Je mzee Samia anaingia kwny kabila lipi..
Maana hata yeye ni sehemu ya jamii zilizopo Tanzania.

NB; Mzee ni binadamu yeyote mwny umri above 60+
 
Sisi Wahindi wa Punjab na Wagoa tupewe kabila maana tumezaliwa hapa. Wapo pia Washirazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…