Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
leo hapa sky lounge panahappen mbaya kabisa.....w/end hoyeeee....
Haya wale Wala Bata wa Arachuga hebu jongeeni Sky Lounge
waje waje....leo kuna mtura choma....na chicken samasault......
waje waje....leo kuna mtura choma....na chicken samasault......
Mi nipo kwa Fatuma ndembendembe, mugabe ndani ndani.....
View attachment 71354
Nikitupia hii dizeli ambayo nitaichakachua na kiroba.....saaaafi.
View attachment 71355
Samasault.....sasa zingekuwa ashua ndo ungeinjoi sana.
wee waiter.....hashua mnachoma....?...
hyo makitu imeshatafunika pale Simba Kapakatwa..
wadau wa mwanza me nipo hapa kwa maelezo zaidi mniPM
weekend hii kwangu imekaa kimnuso mnuso tu...leo Kimara Resort, kesho pande za Officers Mess then j2 namalizia katikati ya jiji huko...
wadau wa mwanza me nipo hapa kwa maelezo zaidi mniPM
Leo ni ngumu na cha arachuga..... Saaafiiiii.