Haya! huu hapa mchezo alioucheza Uhuru kwa Wachina, PPP kibao kwa mliokua mnasubiri

Haya! huu hapa mchezo alioucheza Uhuru kwa Wachina, PPP kibao kwa mliokua mnasubiri

i'm not a good mathematician, but i will try my best to show you what tsh90 billion will do for kenya.
mwishoni tutajua kati ya wewe na mimi nani mjinga. twenda hatua kwa hatua.

if tsh 90,000,000,000 billion is converted to kenyan shilling, equals to ksh 3,960,240,322.50.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 859188

kenya is very corrupt but if corruption is not involved it can cost not less than ksh 20,000,000 per kilometer to build a standard tarmac road in kenya.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 859189

therefore if ksh 3,960,240,322 is divided by ksh 20,000,000, equals to 198.0120161
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 859190

Conclusion:
tsh 90,000,000,000 billion can build 198 kilometers of tarmac road in any county in kenya.

mpaka hapo nadhani tayari umeshajijua kuwa wewe ni kilaza. nauliza hivi kwenye vyuo vyenu huwa mnasomea ujinga?.

nasubiri povu..ruksa kutoa povu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Barabara iliojengwa na Machakos niza ndani ndani ambako Magari hayapiti mengi.

Tena isitoshe, wiki mbili baada ya kujenga hizo barabara , zilikua zimejaa potholes na ikafanya county ya machakos itoe tender nyengine ya kukarabati barabara one moth later

Photos Of New Machakos Road Filled With Potholes In Just 2 Weeks - Naibuzz

So yes, you can build 190km of potholes!

Rudi ulikotoka alafu Ike tena vizuri
 
Hizo potholes ni kwa sababu ya ufisadi! Ila wewe huwezi liona hili kwa kukua unatetea kila kitu. Hiyo pesa inatosha sana, ila tatizo Kenya kila mtu ni mwizi kuanzia kibarua mpaka engineers..
Nenda kawasikilize Sauti sol- TUJIANGALIE
 
Hehehe uvuvi....watu wanatia saini makubwa nyie mnahangaika na uvuvi.....oyaaaa
Uvuvi na kilimo si mambo madogo hayo..... We unaona kujenga 30km road ndio jambo kubwa wakati unakufa na njaa?
 
Back
Top Bottom