Haya! huu hapa mchezo alioucheza Uhuru kwa Wachina, PPP kibao kwa mliokua mnasubiri

Barabara iliojengwa na Machakos niza ndani ndani ambako Magari hayapiti mengi.

Tena isitoshe, wiki mbili baada ya kujenga hizo barabara , zilikua zimejaa potholes na ikafanya county ya machakos itoe tender nyengine ya kukarabati barabara one moth later

Photos Of New Machakos Road Filled With Potholes In Just 2 Weeks - Naibuzz

So yes, you can build 190km of potholes!

Rudi ulikotoka alafu Ike tena vizuri
 
Hizo potholes ni kwa sababu ya ufisadi! Ila wewe huwezi liona hili kwa kukua unatetea kila kitu. Hiyo pesa inatosha sana, ila tatizo Kenya kila mtu ni mwizi kuanzia kibarua mpaka engineers..
Nenda kawasikilize Sauti sol- TUJIANGALIE
 
Hehehe uvuvi....watu wanatia saini makubwa nyie mnahangaika na uvuvi.....oyaaaa
Uvuvi na kilimo si mambo madogo hayo..... We unaona kujenga 30km road ndio jambo kubwa wakati unakufa na njaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…