Wewe mleta uzi ni clueless kabisa. CIA ni spying agency, haijishughulishi na crimes investigation. Kama serikali ikiiomba US usaidizi wa upelelezi wa tukio lolote kubwa la jinai basi it is likely watatumwa maofisa wa FBI. Mfano, baada ya mauaji ya Robert Ouko, Kenya waliomba msaada wa Scotland Yard na sio M15 (spying agency). Watanzania mpende kujisomea kuepuka hizi pumba, kutwa mnatafuta umbea na udaku.