Haya sawa mkuu.Atukanwe na nani? Hapa anapewa ukweli wake tu.
Pamoja na kuhamisha magoli Mkuu,lakini uelewa wa watu wa Mitaa hiyo wa masuala ya kimataifa unatia mashaka.Kwa mfano Rais wa Libya ni Sadam Hussein.imekaaje hiyo?Kuhamisha magoli nayo ni moja ya kozi hapo Lumumba ?
Of course, somehow I can see your points.Thank you too comrade! But two wrongs do not make a right as we vividly see a complete destruction of Iraq as a state and massive suffering of civilians in that country with no end in sight. This is a generational mistake. It could have been managed differently were it not the US taking matters in its own hands supported by a handful of allies. South Africa is a good living example.
Kama hajapata watoto,akatoe mayai yote asije akaleta vilaza zaidi.Wewe jamaa omba Mungu watoto wasirithi akali zako, maana Wewe ni sifuri kabisa
Wewe mleta uzi ni clueless kabisa. CIA ni spying agency, haijishughulishi na crimes investigation. Kama serikali ikiiomba US usaidizi wa upelelezi wa tukio lolote kubwa la jinai basi it is likely watatumwa maofisa wa FBI. Mfano, baada ya mauaji ya Robert Ouko, Kenya waliomba msaada wa Scotland Yard na sio M15 (spying agency). Watanzania mpende kujisomea kuepuka hizi pumba, kutwa mnatafuta umbea na udaku.
Kwani CIA huwa wanachunguza matukio ya uhalifu,FBI kazi yao ni Nini?
Na je unadhani wazungu hawawezi kujua ukweli wa ulichokificha?
Siamini Kama CCM sio kikundi Cha wachawi,maana Mana tabia zote za kichawi.ikiwa ni pamoja na hofu na mashaka.
CIA hawafanyagi uchunguzi wowote idara ya uchunguzi USA ni FBI na sio CIA. Hivyo inaelekea huyui hilo
Kwa hizi akili za Maiti inawezekana kabisa na wewe ni RC ama DCChadema na wengineo wanataka CIA waletwe nchini kuchunguza waliomshambulia Tundu Lisu, wanasema Muzungu hadaganyi na kuita eti uchunguzi huru na hawana imani na watu wetu wa Tanzania, sasa huyo ni aliyekuwa Top Boss wa CIA Mike Pompeo akitupa mbili tatu zake kuhusu wanavyofanya kazi kama CIA, ...
I was the CIA director, we lied, we cheated, we stole, ... Mike Pompeo.
Wamemdanganya nani ?Umeelewa lakini alichokisema? Huyo alikuwa Top Boss wa CIA, amesema ,, I was the CIA director, we lied, we cheated, we stole, ...“
Ndio akili za Maiti sasa nazosemaMuuulize CIA director Mike Pompeo, mimi sijui!