Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
CIA hawafanyagi uchunguzi wowote idara ya uchunguzi USA ni FBI na sio CIA. Hivyo inaelekea huyui hilo
Kwani CIA huwa wanachunguza matukio ya uhalifu,FBI kazi yao ni Nini?
Na je unadhani wazungu hawawezi kujua ukweli wa ulichokificha?
Siamini Kama CCM sio kikundi Cha wachawi,maana Mana tabia zote za kichawi.ikiwa ni pamoja na hofu na mashaka.
"The lips of the righteous teaches many, but fools die for want of wisdom"Sasa mlitaka nani aje kuchunguza?
Acha kuchanganya mambo. Kazi ya CIA ni intelligence gathering for national security bila kujali uwepo wowote wa tukio lolote la jinai, ni kazi ya analysts wao na decision makers juu ya taarifa gani ifatiliwe na kufanyiwa kazi. Kazi ya FBI ni federal investigation including counter-intelligence. Pia unapaswa kufahamu intelligence gathering inafanywa na mashirika mengi yanayounda intelligence community ya US, yapo mengi, NSA kwa mfano wana deal zaidi na signals na IT, DIA wana deal na military intelligence. Mandate na mipaka yao inafahamika. Halafu kwa wale wajinga wanaofikiri rais wa US analindwa na FBI au CIA kama waandishi wa habari wa Tanzania walivyokuwa wana ripoti wakati wa ujio wa Obama,kuwa "FBI wako kila mahali" tuwakumbushe pia kuwa hiyo ni kazi ya Secret Service iliyo chini ya Treasury Dept.CIA wanachunguza matukio ya uhalifu..
Tofauti yake na FBI ni local na CIA ni international.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuchanganya mambo. Kazi ya CIA ni intelligence gathering for national security bila kujali uwepo wowote wa tukio lolote la jinai, ni kazi ya analysts wao na decision makers juu ya taarifa gani ifatiliwe na kufanyiwa kazi. Kazi ya FBI ni federal investigation including counter-intelligence. Pia unapaswa kufahamu intelligence gathering inafanywa na mashirika mengi yanayounda intelligence community ya US, yapo mengi, NSA kwa mfano wana deal zaidi na signals na IT, DIA wana deal na military intelligence. Mandate na mipaka yao inafahamika. Halafu kwa wale wajinga wanaofikiri rais wa US analindwa na FBI au CIA kama waandishi wa habari wa Tanzania walivyokuwa wana ripoti wakati wa ujio wa Obama,kuwa "FBI wako kila mahali" tuwakumbushe pia kuwa hiyo ni kazi ya Secret Service iliyo chini ya Treasury Dept.

Kwa ninavyo elewa mimi CIA ni usalama wa taifa wa nchi ya Marekani ambao kwa huku Tanzania ni kama TISS.Hahaha unaijua tofauti kati ya CIA na FBI?
Tofauti kubwa ni FBI ndani ya USA, CIA nje ya USA, hiyo ndiyo tofauti!
Acha kuchanganya mambo. Kazi ya CIA ni intelligence gathering for national security bila kujali uwepo wowote wa tukio lolote la jinai, ni kazi ya analysts wao na decision makers juu ya taarifa gani ifatiliwe na kufanyiwa kazi. Kazi ya FBI ni federal investigation including counter-intelligence. Pia unapaswa kufahamu intelligence gathering inafanywa na mashirika mengi yanayounda intelligence community ya US, yapo mengi, NSA kwa mfano wana deal zaidi na signals na IT, DIA wana deal na military intelligence. Mandate na mipaka yao inafahamika. Halafu kwa wale wajinga wanaofikiri rais wa US analindwa na FBI au CIA kama waandishi wa habari wa Tanzania walivyokuwa wana ripoti wakati wa ujio wa Obama,kuwa "FBI wako kila mahali" tuwakumbushe pia kuwa hiyo ni kazi ya Secret Service iliyo chini ya Treasury Dept.
Acha kuchanganya mambo. Kazi ya CIA ni intelligence gathering for national security bila kujali uwepo wowote wa tukio lolote la jinai, ni kazi ya analysts wao na decision makers juu ya taarifa gani ifatiliwe na kufanyiwa kazi. Kazi ya FBI ni federal investigation including counter-intelligence. Pia unapaswa kufahamu intelligence gathering inafanywa na mashirika mengi yanayounda intelligence community ya US, yapo mengi, NSA kwa mfano wana deal zaidi na signals na IT, DIA wana deal na military intelligence. Mandate na mipaka yao inafahamika. Halafu kwa wale wajinga wanaofikiri rais wa US analindwa na FBI au CIA kama waandishi wa habari wa Tanzania walivyokuwa wana ripoti wakati wa ujio wa Obama,kuwa "FBI wako kila mahali" tuwakumbushe pia kuwa hiyo ni kazi ya Secret Service iliyo chini ya Treasury Dept.
Umepanic
Kwa ninavyo elewa mimi CIA ni usalama wa taifa wa nchi ya Marekani ambao kwa huku Tanzania ni kama TISS.
CIA wanadili na mambo yajayo au matukio yajayo ya ki intelligence sio matukio yaliyo kwisha kupita.
FBI hawa ndio wanadili na matukio ambayo yalisha kwisha kupita yaani wanafanya investigation kujua lile jambo lilisababishwa na nani? Au nini chanzo cha tukio mpaka kutokea? yaani nani alihusika, nini kilihusika. Hawa ndio FBI Ambao kwa huku kwetu tunaweza kuwalinganisha na wale CID wa polisi.
CIA =TISS
FBI =CID
Kumbuka huwezi chukua usalama wa taifa wa nchi nyingine kuja kufanya uchunguzi kwenye nchi yako hiyo ni risk kubwa sana.
Acha kuchanganya mambo. Kazi ya CIA ni intelligence gathering for national security bila kujali uwepo wowote wa tukio lolote la jinai, ni kazi ya analysts wao na decision makers juu ya taarifa gani ifatiliwe na kufanyiwa kazi. Kazi ya FBI ni federal investigation including counter-intelligence. Pia unapaswa kufahamu intelligence gathering inafanywa na mashirika mengi yanayounda intelligence community ya US, yapo mengi, NSA kwa mfano wana deal zaidi na signals na IT, DIA wana deal na military intelligence. Mandate na mipaka yao inafahamika. Halafu kwa wale wajinga wanaofikiri rais wa US analindwa na FBI au CIA kama waandishi wa habari wa Tanzania walivyokuwa wana ripoti wakati wa ujio wa Obama,kuwa "FBI wako kila mahali" tuwakumbushe pia kuwa hiyo ni kazi ya Secret Service iliyo chini ya Treasury Dept.
Chadema na wengineo wanataka CIA waletwe nchini kuchunguza waliomshambulia Tundu Lisu, wanasema Muzungu hadaganyi na kuita eti uchunguzi huru na hawana imani na watu wetu wa Tanzania, sasa huyo ni aliyekuwa Top Boss wa CIA Mike Pompeo akitupa mbili tatu zake kuhusu wanavyofanya kazi kama CIA, ...
I was the CIA director, we lied, we cheated, we stole, ... Mike Pompeo.
Kwa hiyo ni fake hiyo clip au imekuwa doctored?
Sasa nakuuliza wewe Barbarosa kwa hili tukio la Lissu tukiomba msaada wa uchunguzi toka USA,watatuletea CIA au FBI ?Tofauti ya CIA na FBI ni kwamba FBI wanahusika na ndani ya USA na CIA wanahusika na nje ya USA!
Mkuu, hizo kazi siyo za CIA ni FBI ................!!Chadema na wengineo wanataka CIA waletwe nchini kuchunguza waliomshambulia Tundu Lisu, wanasema Muzungu hadaganyi na kuita eti uchunguzi huru na hawana imani na watu wetu wa Tanzania, sasa huyo ni aliyekuwa Top Boss wa CIA Mike Pompeo akitupa mbili tatu zake kuhusu wanavyofanya kazi kama CIA, ...