HAYA JAMANI KWA WALE WALIOOMBA MKOPO HLSSF-1st. BATCH HIYO HAPO PAMOJA NA MAELEKEZO MUHIMU 2nd BATC.

HAYA JAMANI KWA WALE WALIOOMBA MKOPO HLSSF-1st. BATCH HIYO HAPO PAMOJA NA MAELEKEZO MUHIMU 2nd BATC.

Da lakini hayo majina mbona hayaonekani au wanarusha mchele?
Asante mkuu kazi yako umeifanya mjumbe hatukuuwi!!
 
Oya,ebu tupostie hayo majina hapa mkuu,maana wengine 2natumia cmu!
 
Ina maana yatatoka majina mengine tusubiri? mimi nimepangiwa IFM sijaona jina langu.
 
Hvi,hawa jamaa waliwapa pesa kweli au ndo wameliza watu tayari?
 
Back
Top Bottom