Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa.. Kushushwa Mwanza ikitokea wapi?Wabongo bana daaaa, yaani kushushwa mwanza washasema 'mwamba ngoma kavutia kwake daa!'
Hahaa.. Kushushwa Mwanza ikitokea wapi?
Umepatia sana kuhusu sukari lakini hiyo ccm umeingia chaka sana.Mi binafsi sukari ya kiwandani situmi rai yangu kwa WATANZANIA wasomi wanaojua nini mana ya afya kuchana nazo.tumia asali .Mimi natumia asali ya nyuki wadogo yakienyeji kabisa
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA