Kikosi Bora
Zifuatazo ni Timu za GENTAMYCINE kuelekea Fainali za Kombe la Dunia huko Urusi mwezi ujao ambazo nina uhakika zipo ambazo zitaenda hadi Robo na Nusu Fainali na hadi moja wapo kuibuka kuwa Bingwa hapo mwezi July:
Karibu na Wewe uweke / utaje Timu zako ' pendwa ' Tano tu unazoziamini kuwa zitatoboa vyema huko Urusi.
- Argentina
- Germany
- Spain
- France
- Senegal
Nawasilisha.
Brazil
Spain
German
ndo watasumbua
DenmarkZifuatazo ni Timu za GENTAMYCINE kuelekea Fainali za Kombe la Dunia huko Urusi mwezi ujao ambazo nina uhakika zipo ambazo zitaenda hadi Robo na Nusu Fainali na hadi moja wapo kuibuka kuwa Bingwa hapo mwezi July:
Karibu na Wewe uweke / utaje Timu zako ' pendwa ' Tano tu unazoziamini kuwa zitatoboa vyema huko Urusi.
- Argentina
- Germany
- Spain
- France
- Senegal
Nawasilisha.