Haya Kombe la Dunia hilo linakuja tuanze sasa kugawana Timu za Kushabikia mapema

Haya Kombe la Dunia hilo linakuja tuanze sasa kugawana Timu za Kushabikia mapema

Germany... tiger na Ballack walifanya nikaipenda Ujerumani.

Argentina... Di maria alinifanya nikaipenda Argentina ila wakicheza na Ujerumani namshabikia Mjerumani.

Nedherlands.. hawapo ila ni chama langu pia. Sweden wakicheza lazima niangalie ila sitawashabikia.

Afrika... nipo kwa Mohammed Salah.... naamini Misri imerudi ile ya kija nasri.
 
Argentina moja chama la madume babaa, Brazil wengiwao wanaishabikia wanawake tu.

Kwa Afrika nipo Morocco and Egypt..
 
Kikosi Bora
 
Attachments

  • TMPDOODLE1527344595200.jpg
    TMPDOODLE1527344595200.jpg
    61 KB · Views: 18
Zifuatazo ni Timu za GENTAMYCINE kuelekea Fainali za Kombe la Dunia huko Urusi mwezi ujao ambazo nina uhakika zipo ambazo zitaenda hadi Robo na Nusu Fainali na hadi moja wapo kuibuka kuwa Bingwa hapo mwezi July:
  1. Argentina
  2. Germany
  3. Spain
  4. France
  5. Senegal
Karibu na Wewe uweke / utaje Timu zako ' pendwa ' Tano tu unazoziamini kuwa zitatoboa vyema huko Urusi.

Nawasilisha.

Argentina babaa....gonga like twende sawa
 
Brazil
Spain
German
ndo watasumbua

Siku ambayo Brazil wataacha Kutumia Jezi ya Njano huenda nikaanza kuwa Shabiki yao ila wakiendelea kuitumia basi nipo tayari hata ' Kuwaroga ' ili wasifike kokote katika Fainali hizi zijazo.
 
Zifuatazo ni Timu za GENTAMYCINE kuelekea Fainali za Kombe la Dunia huko Urusi mwezi ujao ambazo nina uhakika zipo ambazo zitaenda hadi Robo na Nusu Fainali na hadi moja wapo kuibuka kuwa Bingwa hapo mwezi July:
  1. Argentina
  2. Germany
  3. Spain
  4. France
  5. Senegal
Karibu na Wewe uweke / utaje Timu zako ' pendwa ' Tano tu unazoziamini kuwa zitatoboa vyema huko Urusi.

Nawasilisha.
Denmark
Croatia
Senegal

Hizi ndio timu zangu worldcup hasa hao denmark nawaelewa sana hapa pione sisto kule daniel wass pale kati eriksen mbele dolberg lazima wakae
 
Team za Africa zote
England
Brazil
Portugal sitaki mtu aniambie team zangu sijui nini hizo ndio chaguo langu

Genta pole sana kwa ban nilikumiss
 
Brazil hainahaja ya kutaja team zote tano wakati anaechukua kombe ni Brazil.
 
Back
Top Bottom