Haya Kombe la Dunia hilo linakuja tuanze sasa kugawana Timu za Kushabikia mapema

Haya Kombe la Dunia hilo linakuja tuanze sasa kugawana Timu za Kushabikia mapema

Taifa lililojaliwa vipaji, halihitaji kua na Academy nyingi za mpira
BRAZIL!
Na Timu yenye Kucheza mpira wa kitabuni hata wakifunga unafurahi kuo na kandanda safi SPAIN

Tukutane wadau wa Brazil na Spain
 
Back
Top Bottom