mkuu SK2016 hizi ni kelele za mitandaoni tu on ground things are different !! “vibibi”Huku ni kuwanyanyapaa wenye umri kongwe!
Yaani siku hizi hata umri tu waweza kuwa chanzo cha kumnyanyapaa mtu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau tuu kuwapa sapoti ndugu zako au rafiki wa karibu
Walau utapata wa kukusaidia kubadili Pampers pindi UKIMWI utakapokua unakutafuna polepole
Kila la kheri Mkuu
Ukipanda Pilipili usitarajie kuvuna mahindi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mungu na Atuepushie mbali dhahma hii ...sikia tuu nduguMkuu acha kumtisha mleta uzi ,ukimwi wa siku hizi umeisha makali, mwisho wako ukifika unaanguka tu kama mgomba, alafu tunasema marehemu alikufa kwa pressure ,Period!
Hicho Sio kitoto kamanda we ndo umechelewa kukipata, kishajua mpaka kutopenda Ndom?!!!!!!!!!Oya mabaharia, kuna kitoto nina mihadi nacho sikukuu ila kimeniambia chenyewe hakipendi kutumia Ndom, saasa hapa nipo nawaza je nikitafune au nigahirishe maana sijaelewa kinajihamini nini
Tumepanga siku ya jtano ila bado nawaza