mkuu SK2016 hizi ni kelele za mitandaoni tu on ground things are different !! “vibibi”Huku ni kuwanyanyapaa wenye umri kongwe!
Yaani siku hizi hata umri tu waweza kuwa chanzo cha kumnyanyapaa mtu!
Sent using Jamii Forums mobile app
vinaliliwa vibaya sana
Na ndio maana “vibibi” havijaja na mapovu kama ilivyotabiriwa🤗🤗🤗