Haya mabango ya barabarani yamenifurahisha

Malaika wa Misukosuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2021
Posts
2,470
Reaction score
7,376
Habarini wana JF, kiufupi mimi shughuli zangu za kutafuta coins nazifanyia tu hapa hapa mtaa fulan huku Dodoma, ila zilipita siku nyingi kidogo kama mwezi hivi sijaenda town.

Sasa leo nikaona acha niende huko mjini kununua mahitaji kidogo, aisee nimeshtushwa kidogo baada ya kila kona ninayopita kwenye barabara kukutana na mfano wa aina hiyo ya bango (picha ipo chini, mabango ya Dodoma sikufanikiwa kupiga picha) mpaka nkashtuka nikasema nini hiki kinaendelea tena!

NB: Wayaongeze hayo mabango maana mbona ni machache sana.

 
Sawa
 
Kwa watu mliopo nje ya Jiji hili maarufu nchini Tanzania basi majengo hayo mnayo yaona mawili yamefanana yanaitwa PSSSF TWIN TOWERS ambayo yapo katikati ya Barbara ya Samora na Sokoine Drive katikati ya mtaa uitwao Mission street.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…