Haya mabango ya ccm yanakera sana kwenye soka. SIMBA NA YANGA ACHENI HUU USHENZI

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Haya mambo ndomana tunaonekana watanzania wote wehu tu, yani bila kutumia liubongo Lako unakalisha msambwanda kubeba mubango wa kilofa kusifu vitu ambavyo havipo. Sasa kwenye michezo ya yanga na vipers au timu yoyote Ile mama anaingiaje. Tena mnaweka wageni rasmi wa mifisiemu. Kwanzia leo najitoa kwenye haya maklabu ya bongo maana mmekuwa kama mazuzu vile.
 
Huu ni upuuzi mwingine wa wanasiasa kupora kila tukio. Mimi ni mpenzi wa yanga ila kwa hili nimekwazika sana. Tupo wanayanga wengi tuisio wanaccm lazima tuheshimiwe
 
Matukio yote hapo kwenye picha yako ni ya Yanga SC, sijui kwanini umewaweka Simba SC kwenye hili, au kama unao uthibitisho wa picha toka Simba SC tuwekee hapa tuuone, kama hauna moderators wa edit kichwa cha habari yako.
 
Ndo maana yanafungwa, hizi timu Hasa simba na yanga zinaleta zinaleta siasa kwenye soka BILA kujali kwamba katika mashabiki wao wengine hawana vyama na wengine wanaitikadi na tofauti za vyama, shame on them
 
Matukio yote hapo kwenye picha yako ni ya Yanga SC, sijui kwanini umewaweka Simba SC kwenye hili, au kama unao uthibitisho wa picha toka Simba SC tuwekee hapa tuuone, kama hauna moderators wa edit kichwa cha habari yako.
Unajizima data sindio, inamana huwa huyaoni mabango ya Samia na ccm kwenye mechi za simba. Subiri simba day
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…