Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Haya mambo ndomana tunaonekana watanzania wote wehu tu, yani bila kutumia liubongo Lako unakalisha msambwanda kubeba mubango wa kilofa kusifu vitu ambavyo havipo. Sasa kwenye michezo ya yanga na vipers au timu yoyote Ile mama anaingiaje. Tena mnaweka wageni rasmi wa mifisiemu. Kwanzia leo najitoa kwenye haya maklabu ya bongo maana mmekuwa kama mazuzu vile.