Haya mabango ya ccm yanakera sana kwenye soka. SIMBA NA YANGA ACHENI HUU USHENZI

Haya mabango ni ishara wtz tuna akili ndogo sana. Yani hatuwezi kufanya jambo lolote bila unafiki na kulamba watu miguu!!!?? katika nchi za maziwa makuu wajinga wengi wapo tz
Yani mimi mtu akinishirikisha mambo ya simba na yanga nitampa mbata moja ambayo itaacha alama ya kudumu kama tattoo ya uwoya
 
Sasa hapo
Sasa hapo simba imeingiaje wewe zuzu mpwayungu village
 
Katiba mpya ndio dawa
 
YANGA na UVCCM , KINANA ndio wamecheza hii game, watanzania walionyanyasika na utawala wa kidhalimu miaka 60 ya UHURU wanapinga huu upuuzi.
 
Hii kitu ndio ilinifanya niachane na YANGA ,TOKA 2015..NIKO ZANGU SOKA LA ULAYA..SIASA NYINGI KTK SOKA LA BONGO,SOKA LINAONGOZWA NA WANASIASA,WANAOZITUMIA TIMU HIZI KUFANIKISHA MALENGO YAO YA KISIASA...
 
Hii kitu ndio ilinifanya niachane na YANGA ,TOKA 2015..NIKO ZANGU SOKA LA ULAYA..SIASA NYINGI KTK SOKA LA BONGO,SOKA LINAONGOZWA NA WANASIASA,WANAOZITUMIA TIMU HIZI KUFANIKISHA MALENGO YAO YA KISIASA...
Hata mimi, Nilikuwa yanga lakini jana nilichana kadi yao uwanjani ikatoka
 
Hadi huku
 

Attachments

  • Screenshot_20220808-075321_Chrome.jpg
    95.7 KB · Views: 2
Yanga wanategemea pesa za wizi serikalini hivyo waache tu wafanye siasa.

Washabiki wake wengi hawana akili ni kama manyani tu
 
tatizo ni nyinyi mashabiki, hebu oneshani action ya uhakika kuwa hamutaki huo upuuzi muone kama hamtopata majibu, Wa TZ ni wapuuzi sana na ndio mana tunaendelea kufanywa wapuuzi.
 
Usiseme Yanga ni timu ya ccm SEMA ccm ni chama chenye chimbuko kutoka Yanga
 
Kuna mwamba humu ndani alielezea vzr hizi timu. Hizi timu ni serikali na serikali ni hizi timu. Ukitaka kupotea kwenye raman ziguse hizi timu. Jamal Malinzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…