Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Simba unakumbuka mlimualika nani? Wanapoongelea madudu ya timu za Kariakoo Uwe unaacha ushabiki.Mnawalaumu bure hao ccm, walaumuni hao utopolo waache ujinga wa kuchanganya siasa na timu Yao .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba unakumbuka mlimualika nani? Wanapoongelea madudu ya timu za Kariakoo Uwe unaacha ushabiki.Mnawalaumu bure hao ccm, walaumuni hao utopolo waache ujinga wa kuchanganya siasa na timu Yao .
Yani mimi mtu akinishirikisha mambo ya simba na yanga nitampa mbata moja ambayo itaacha alama ya kudumu kama tattoo ya uwoyaHaya mabango ni ishara wtz tuna akili ndogo sana. Yani hatuwezi kufanya jambo lolote bila unafiki na kulamba watu miguu!!!?? katika nchi za maziwa makuu wajinga wengi wapo tz
Wote wapuuzi tu including youNaipenda CCM ila hayo matangazo huko Yanga ni kuikishushia Chama Heshima.
Sasa hapo simba imeingiaje wewe zuzu mpwayungu villageHaya mambo ndomana tunaonekana watanzania wote wehu tu, yani bila kutumia liubongo Lako unakalisha msambwanda kubeba mubango wa kilofa kusifu vitu ambavyo havipo. Sasa kwenye michezo ya yanga na vipers au timu yoyote Ile mama anaingiaje. Tena mnaweka wageni rasmi wa mifisiemu. Kwanzia leo najitoa kwenye haya maklabu ya bongo maana mmekuwa kama mazuzu vile. View attachment 2316540View attachment 2316542View attachment 2316543View attachment 2316545View attachment 2316547
Katiba mpya ndio dawaHaya mambo ndomana tunaonekana watanzania wote wehu tu, yani bila kutumia liubongo Lako unakalisha msambwanda kubeba mubango wa kilofa kusifu vitu ambavyo havipo. Sasa kwenye michezo ya yanga na vipers au timu yoyote Ile mama anaingiaje. Tena mnaweka wageni rasmi wa mifisiemu. Kwanzia leo najitoa kwenye haya maklabu ya bongo maana mmekuwa kama mazuzu vile. View attachment 2316540View attachment 2316542View attachment 2316543View attachment 2316545View attachment 2316547
Nikitaka na mimi kuwa Chawa je nifanyeje ?!Poleni mnaoshabikia. Professionalism Kwa Tz itachukua karne mbele.
Ilianza Rushwa, sasa Uchawa
Hata simba wana tabia hii, subiri simba day
YANGA na UVCCM , KINANA ndio wamecheza hii game, watanzania walionyanyasika na utawala wa kidhalimu miaka 60 ya UHURU wanapinga huu upuuzi.Haya mambo ndomana tunaonekana watanzania wote wehu tu, yani bila kutumia liubongo Lako unakalisha msambwanda kubeba mubango wa kilofa kusifu vitu ambavyo havipo. Sasa kwenye michezo ya yanga na vipers au timu yoyote Ile mama anaingiaje. Tena mnaweka wageni rasmi wa mifisiemu. Kwanzia leo najitoa kwenye haya maklabu ya bongo maana mmekuwa kama mazuzu vile. View attachment 2316540View attachment 2316542View attachment 2316543View attachment 2316545View attachment 2316547
Hii kitu ndio ilinifanya niachane na YANGA ,TOKA 2015..NIKO ZANGU SOKA LA ULAYA..SIASA NYINGI KTK SOKA LA BONGO,SOKA LINAONGOZWA NA WANASIASA,WANAOZITUMIA TIMU HIZI KUFANIKISHA MALENGO YAO YA KISIASA...Haya mambo ndomana tunaonekana watanzania wote wehu tu, yani bila kutumia liubongo Lako unakalisha msambwanda kubeba mubango wa kilofa kusifu vitu ambavyo havipo. Sasa kwenye michezo ya yanga na vipers au timu yoyote Ile mama anaingiaje. Tena mnaweka wageni rasmi wa mifisiemu. Kwanzia leo najitoa kwenye haya maklabu ya bongo maana mmekuwa kama mazuzu vile. View attachment 2316540View attachment 2316542View attachment 2316543View attachment 2316545View attachment 2316547
Hata mimi, Nilikuwa yanga lakini jana nilichana kadi yao uwanjani ikatokaHii kitu ndio ilinifanya niachane na YANGA ,TOKA 2015..NIKO ZANGU SOKA LA ULAYA..SIASA NYINGI KTK SOKA LA BONGO,SOKA LINAONGOZWA NA WANASIASA,WANAOZITUMIA TIMU HIZI KUFANIKISHA MALENGO YAO YA KISIASA...
Tanzania ujinga ni mkubwa Sana ndio maana hata wavaa kobazi wanasherekea siku za waarabu
Yanga wanategemea pesa za wizi serikalini hivyo waache tu wafanye siasa.Haya mambo ndomana tunaonekana watanzania wote wehu tu, yani bila kutumia liubongo Lako unakalisha msambwanda kubeba mubango wa kilofa kusifu vitu ambavyo havipo. Sasa kwenye michezo ya yanga na vipers au timu yoyote Ile mama anaingiaje. Tena mnaweka wageni rasmi wa mifisiemu. Kwanzia leo najitoa kwenye haya maklabu ya bongo maana mmekuwa kama mazuzu vile. View attachment 2316540View attachment 2316542View attachment 2316543View attachment 2316545View attachment 2316547