Haya mabasi mnayoamsha na abiria asubuhi msiache kutenda mema siku zote

Haya mabasi mnayoamsha na abiria asubuhi msiache kutenda mema siku zote

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kidogo tumeanza kubadilika

Majuzi nilisafiri na basi moja to Arusha

Wakataka details zangu hamad nikaweka alarm, yaani sijaamka

Nasikia simu habari naviga toka kampuni fulani safari yako ni saa tukukute kituo fulani muda wa kuamka sasa

Nilipenda sana nikatamani na ndege mtuamshe hivi maana zile penalty zenu zinachosha
 
Kama safari yako haianzii stand kuu linapoanzia gari, I mean unapandia njiani , mwenyewe mara kadhaa nimepigiwa simu.

Ila inaonesha unapandia linapoanzia safari, sijaona wakipiga.

Naongelea experience yangu.
 
Back
Top Bottom