Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Dec 12, 2023 #1 Kidogo tumeanza kubadilika Majuzi nilisafiri na basi moja to Arusha Wakataka details zangu hamad nikaweka alarm, yaani sijaamka Nasikia simu habari naviga toka kampuni fulani safari yako ni saa tukukute kituo fulani muda wa kuamka sasa Nilipenda sana nikatamani na ndege mtuamshe hivi maana zile penalty zenu zinachosha
Kidogo tumeanza kubadilika Majuzi nilisafiri na basi moja to Arusha Wakataka details zangu hamad nikaweka alarm, yaani sijaamka Nasikia simu habari naviga toka kampuni fulani safari yako ni saa tukukute kituo fulani muda wa kuamka sasa Nilipenda sana nikatamani na ndege mtuamshe hivi maana zile penalty zenu zinachosha
Smart Guy JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 6,808 Reaction score 6,934 Dec 12, 2023 #2 Sawa sawa
Mr Slim JF-Expert Member Joined Sep 11, 2018 Posts 2,652 Reaction score 5,242 Dec 12, 2023 #3 Kama safari yako haianzii stand kuu linapoanzia gari, I mean unapandia njiani , mwenyewe mara kadhaa nimepigiwa simu. Ila inaonesha unapandia linapoanzia safari, sijaona wakipiga. Naongelea experience yangu.
Kama safari yako haianzii stand kuu linapoanzia gari, I mean unapandia njiani , mwenyewe mara kadhaa nimepigiwa simu. Ila inaonesha unapandia linapoanzia safari, sijaona wakipiga. Naongelea experience yangu.