harakat
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 2,887
- 1,351
Jana toka asubuhi liii netwok la banka Hii lilileta shida kubwa na
baadhia ya watu tulishindwa kujiachiaa kwa kukosa fedha mifukoni
adha hii ilitokea tangu asubuhi mapaka kwenye saa tisa usiku
wa kuamkia leo kutokana na chanzo changu cha kuthibitisha habari
hii mhudumu mmmoja wa benk hii niliyeongea nae jana saa moja
jioni aliniambia kwamba ni suala la netwok kuna kipande cha fibre optic
(mkonga wa mawasiliano) kimekatwa sehemu na ndio maana inaleta shida
Dukuduku langu ni kwamba kama ATM sio reliabo yaani hazina huduma ya
kuaminika tutumie nini?
na inapotokea suala kama hili wanafanya nini wahusika?