kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Binafsi sifurahishwi na muundo wa bodi za mabus wanayopewa Simba.
Haya mabodi yamekaa kishamba sana.Utaona hakuna ubunifu sehemu ya mbele ubavuni.Ni kama nafasi ilibaki wazi wakaanza kuweka viraka.
Hebu angalieni hata muundo wa mabus ya mwendokasi mwonekano wake kwa nje ni mzuri sana.Kukubali kununua au kupewa bus aina ya Tata ni kushusha hadhi ya timu na kuwatangazia tu biashara yao ya mabus ya kishamba shamba namna ile