Haya mabus ya Simba mbona bodi zake za kishamba kushamba tu? Huwa hamuoni mabus ya Ulaya?

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Binafsi sifurahishwi na muundo wa bodi za mabus wanayopewa Simba.
Haya mabodi yamekaa kishamba sana.Utaona hakuna ubunifu sehemu ya mbele ubavuni.Ni kama nafasi ilibaki wazi wakaanza kuweka viraka.
Hebu angalieni hata muundo wa mabus ya mwendokasi mwonekano wake kwa nje ni mzuri sana.Kukubali kununua au kupewa bus aina ya Tata ni kushusha hadhi ya timu na kuwatangazia tu biashara yao ya mabus ya kishamba shamba namna ile
 
Umekariri?Nani kakuambia ni Tata?
 
Golden dragon ina body ya kishamba


Tashriff anazo izi na alsaedy na wengineo
 
Mwenzako kafungua uzi asema Simba wamekopa wewe ya kishamba.Hivi mnateseka mkiwa wapi?

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaha
Subirini kufungwa magoli ya kishamba hapo ngao ya Hisani.

Uto subiri kipigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…