figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Kwa hiyo shida yako ni kujua jinsia yake??nmejitahidi kumtambua macho ya Invisible lakini nmeshindwa. kila nikimuangalia ananikonyeza. naamin hapa jf kuna watu wanaweza kutambua jinsia ya mtu kwa kumuangalia macho, pua na hata masikio. natamani kujua jinsia yake. tuseme wote wanao vaa kininja ni wanaume tu?. hebu mchunguze macho kwa makini then mnipe jibu.
Ni kwa nia njema tu. usikute najichelewesha. Mia
Kwa hiyo shida yako ni kujua jinsia yake??
sidhani kama haya macho ya binadam kwanza the way yanavyokonyeza halafu zile gololi za ndani meusi sana
kwani huyu ni mtu?...
ninja!!!! hyo mbona kama ngozi yake mkuu we huoni!!!!!!nmejitahidi kumtambua macho ya Invisible lakini nmeshindwa. kila nikimuangalia ananikonyeza. naamin hapa jf kuna watu wanaweza kutambua jinsia ya mtu kwa kumuangalia macho, pua na hata masikio. natamani kujua jinsia yake. tuseme wote wanao vaa kininja ni wanaume tu?. hebu mchunguze macho kwa makini then mnipe jibu.
Ni kwa nia njema tu. usikute najichelewesha. Mia
Chezea sharubu za simba weye eeh