haya macho ya invisible siyaelewielewi kabisa

Mi nilishamshauri abadilishe hiyo avatar coz inatisha nikaambiwa nabusu mamba shavu! Haya bana, mi napita tu.
Wewe una hisi macho yake ni yanini?mia
 
Yaani ww umetongoza PM weeeh ukachoka, sasa unamuwazia Invisible!? Mtu mwenyewe haonekani, ukishamtongoa itakuwaje?
Tatizo ni kwamba hayo macho nimeyafananisha. King'a mambovipi? mzee hajambo?. mia
 


papito mm haijalishi ni jinsia gani ukimpata kwa pm nishtue na mm

nataka kumuona live. hata mm ni kwa nia njema tu. mwaaaaaaah.
 
papito mm haijalishi ni jinsia gani ukimpata kwa pm nishtue na mm

nataka kumuona live. hata mm ni kwa nia njema tu. mwaaaaaaah.

hahahahaaaaaa......!!!!. shaka Invisible kalipokea kwa furaha hilo busu. Natamani ingekuwa mimi, ningekujibu papo kwa papo mwaaaaaa...!!! ya nguvu. Mia
 
Last edited by a moderator:
iko poa ila haituambii jinsia gani. :help: :help: :help: funguka bac.

hataki. hayo macho inatakiwa mtu mwenye uwezo wa kugundua jinsia kwa kuangalia macho. akinikonyeza tu mapigo ya moyo yanaenda mbio huku naogopa lisije likanifanyizia nikikutana nalo. Mia
 
hahahahaaaaaa......!!!!. shaka Invisible kalipokea kwa furaha hilo busu. Natamani ingekuwa mimi, ningekujibu papo kwa papo mwaaaaaa...!!! ya nguvu. Mia

umevunja kanuni na utaratibu nani kakwambia umlete huyu mama kijacho huku wakati alikuwa na mapumziko
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…