Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Inasikitisha sana kuona kijana analia kisa timu yake imefungwa.
Lakini huyo huyo kijana hutamuona kamwe katika harakati za kupambana na kupinga viongozi wanao kula pesa za uma!!
Unadhani kama sio sisi Nchi yetu itajengwa na nani? Nani atapambana Kwa niamba yetu kuhakikisha tuna time huru ya uchaguzi? Kuhakikisha tuna katiba mpya?
Nimepita katika mitandao kadhaa ya kijamii nimeona watu wanauchungu sana na hizi timu za kariakoo. Binafisi hata Mimi ni mshabiki wa mpira lakini hii level ya vijana wenzangu inaniondolea matumaini ya kujenga Nchi yetu.
Shuhudia mwenyewe.