Nimecheka sana baada ya kuiona video hii ya bwana mdogo akilia huku akitoa maneno nataka kuhamia Yanga
Hii yote inatokana na mateso ya kufungwa timu yake ya Simba, kwahiyo dogo kaona ya nini kupata tabu za vipigo kila siku, ni bora aje kwenye timu ya mabingwa wakati wote.
Weekend hii nimeamua kumuacha mpenzi wangu kwa sababu ya ushabiki wa mpira uliopitiliza ambao ulikuja na ulevi kupindukia na marafiki wasiofaa.
Mashabiki wa mpira, muje muniambie huwa mpira unawapa faida gani?
Leo nimeshtushwa kuona watu wenye hali duni wamevaa jezi nyekundu, wamejaa kwenye Costa wakielekea uwanjani.
Kwa kweli ilinifanya nisikitike sana. Inauma kuona jinsi umasikini unavyoweza kumfumba mtu macho—mpaka anasahau hali yake halisi.
Yaani mtu mzima, ndevu zimejaa, anaonekana amechoka...
Inasikitisha sana kuona kijana analia kisa timu yake imefungwa.
Lakini huyo huyo kijana hutamuona kamwe katika harakati za kupambana na kupinga viongozi wanao kula pesa za uma!!
Unadhani kama sio sisi Nchi yetu itajengwa na nani? Nani atapambana Kwa niamba yetu kuhakikisha tuna time huru ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.