Introvert Music
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,044
- 2,831
Leo nimeshtushwa kuona watu wenye hali duni wamevaa jezi nyekundu, wamejaa kwenye Costa wakielekea uwanjani.
Kwa kweli ilinifanya nisikitike sana. Inauma kuona jinsi umasikini unavyoweza kumfumba mtu macho—mpaka anasahau hali yake halisi.
Yaani mtu mzima, ndevu zimejaa, anaonekana amechoka kabisa, lakini bado yuko bize kupuliza vuvuzela kana kwamba hiyo ndiyo njia ya kutoroka umasikini.
Kiukweli, ni huzuni kuona jinsi ujinga na umasikini vinavyoshikana mikono.