Introvert Music
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,044
- 2,831
- Thread starter
- #21
Inasikitisha sana akili ya mtanzaniaWatanzania hatuna kazi
Kwenye mechi za robo fainali caf champions league timu karibu zote zimecheza na mashabiki wachache.
1. Mamelodi kacheza home game na esperence mashabiki hawakufika hata nusu uwanja
2. Al ahly kacheza home game na al hilal mashabiki hawakufika hata nusu uwanja
3. Esperence nae jana kacheza home game na mamelodi tunisia na yeye nae mashabiki hawakujaa kabisa.
ILa sasa mechi zikichezwa Tanzania , sisi ndio tunajaa sababu hatuna kazi za kufanya hivyo tunajazana uwanjani