Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Maskini ni wewe unaefatilia wanaume wakitumia hela zaoTafuta hela masikini wewe
Maskini ni wewe unaefatilia wanaume wakitumia hela zaoTafuta hela masikini wewe
Kweli. Hakuna tajiri wa kuja jf kuponda masikini.Halafu unaweza kustaajabu wewe unaewaita wenzio maskini ndio fukara wa kutupwa.
Tafuta hela masikini weweHiki kinapingana na mada yako kama umekiri wana jezi ina maana wana uwezo wa kununua, wapo kwenye gari aina ya coaster ina maana wamekodi hiyo gari na hivyo vitu ni luxury kwenye uchumi ina maana hao watu siyo maskini maana maskini hawezi tumia pesa yake huko zaidi ya necessity goods
Hao uliowaona wana uwezo siyo maskini, hapa umetupiga kamba au hujaorganize vizuri mada yako
Sahihi kabisa. Ambao hatuna hela hata akili hatuna, LolUkiwa huna hela maana yake we huna akili
tajiri kawavalishe masikiniLeo nimeshtushwa kuona watu wenye hali duni wamevaa jezi nyekundu, wamejaa kwenye Costa wakielekea uwanjani.
Kwa kweli ilinifanya nisikitike sana. Inauma kuona jinsi umasikini unavyoweza kumfumba mtu macho—mpaka anasahau hali yake halisi.
Yaani mtu mzima, ndevu zimejaa, anaonekana amechoka kabisa, lakini bado yuko bize kupuliza vuvuzela kana kwamba hiyo ndiyo njia ya kutoroka umasikini.
Kiukweli, ni huzuni kuona jinsi ujinga na umasikini vinavyoshikana mikono.
Tafuta hela masikini weweMaskini ni wewe unaefatilia wanaume wakitumia hela zao
Nimekuhurumia sana, mama yako atalia sanaYaani mtu mzima, ndevu zimejaa, anaonekana amechoka kabisa, lakini bado yuko bize kupuliza vuvuzela kana kwamba hiyo ndiyo njia ya kutoroka umasikini.
Chieeff Niaje 😂😂Maskini ni wewe unaefatilia wanaume wakitumia hela zao
Govi wewe.Tafuta hela masikini wewe
Tafuta hela masikini weweGovi wewe.
Kapumbavu haka, ukute kapo kwa shemeji yake. Wenye nyumba wapo kazini, kenyewe kamening'iniza kende baada ya kuvimbiwa kiporo cha ubwabwa na maharage ya juzi kanaandika pumba huku akimsumbua beki tatu wa dada yake.Kweli. Hakuna tajiri wa kuja jf kuponda masikini.
Tafuta hela masikini weweKapumbavu haka, ukute kapo kwa shemeji yake. Wenye nyumba wapo kazini, kenyewe kamevimbiwa kiporo cha ubwabwa na maharage ya juzi kanaandika pumba huku akimsumbua beki tatu wa dada yake.
Tafuta hela masikini weweUmaskini hauondolewi kwa dk 90 jinga wewe
Mbona maneno makal sana Kwa tajirWe jamaa bado unaujinga wakizamani sana
Naomba 100k we tajiri mpumbavuTafuta hela masikini wewe
tupiamo tupicha basi naweeeLeo nimeshtushwa kuona watu wenye hali duni wamevaa jezi nyekundu, wamejaa kwenye Costa wakielekea uwanjani.
Kwa kweli ilinifanya nisikitike sana. Inauma kuona jinsi umasikini unavyoweza kumfumba mtu macho—mpaka anasahau hali yake halisi.
Yaani mtu mzima, ndevu zimejaa, anaonekana amechoka kabisa, lakini bado yuko bize kupuliza vuvuzela kana kwamba hiyo ndiyo njia ya kutoroka umasikini.
Kiukweli, ni huzuni kuona jinsi ujinga na umasikini vinavyoshikana mikono.
wewe ni fukara wa pesa mpaka akili. Kima kama nyinyi huishia kupakatwa na wanaume wenzenu ili mvimbe mjini.Tafuta hela masikini wewe