Masikini leo wako kwenye purukushani ya kuangalia mpira

Masikini leo wako kwenye purukushani ya kuangalia mpira

Kuna Umasikini wa Fikra na kwa Fikra zako unao in abundance....


Na je Umasikini ni nini au Tatizo la Umasikini ni la kujitakia na Je Umasikini ni Uvivu ?

 
Linapokuja swala la Simba na Yanga mitanzania ni mizwazwa kabisa, alieturoga alishakufa !
 
We jamaa bado unaujinga wakizamani sana
Huyu jamaa tusikimbilie kumuita mjinga.

Huyu jamaa anaweza kuwa ana akili sana.

Naomba nikutajie makundi ya watu wenye akili sana.
1)Wahubiri wa dini wanaojiita manabii, mitume na makuhani.
2)Waganga wa kienyeji.
3)Wanaojiita freemason na kudai wana pesa.
4)Matapeli.

Namba 4 inaweza ikamaanisha watu wa namba 1 hadi 3.

Watu wa makundi haya wanatumia ujinga wa jamii kujipatia fedha na kutajirika.

Huyu jamaa yupo katika moja wapo ya makundi tajwa hapo juu, na kama bado hajatajirika ni lazima atatajirika tu kwa sababu wajinga ni wengi mno na ujinga wao ni wa kiwango cha juu sana.

Amini nakuambia, kuwa katika makundi hayo ni lazima uwe na akili nyingi sana.

Hapa yupo kutafuta wafuasi wa kuwapiga hela, na atapata.
 
Watanzania hatuna kazi

Kwenye mechi za robo fainali caf champions league timu karibu zote zimecheza na mashabiki wachache.

1. Mamelodi kacheza home game na esperence mashabiki hawakufika hata nusu uwanja

2. Al ahly kacheza home game na al hilal mashabiki hawakufika hata nusu uwanja

3. Esperence nae jana kacheza home game na mamelodi tunisia na yeye nae mashabiki hawakujaa kabisa.

ILa sasa mechi zikichezwa Tanzania , sisi ndio tunajaa sababu hatuna kazi za kufanya hivyo tunajazana uwanjani
kazi zenyewe hakuna labda kazi za bila malipo.
 
Leo nimeshtushwa kuona watu wenye hali duni wamevaa jezi nyekundu, wamejaa kwenye Costa wakielekea uwanjani.

Kwa kweli ilinifanya nisikitike sana. Inauma kuona jinsi umasikini unavyoweza kumfumba mtu macho—mpaka anasahau hali yake halisi.

Yaani mtu mzima, ndevu zimejaa, anaonekana amechoka kabisa, lakini bado yuko bize kupuliza vuvuzela kana kwamba hiyo ndiyo njia ya kutoroka umasikini.

Kiukweli, ni huzuni kuona jinsi ujinga na umasikini vinavyoshikana mikono.
Na chukuwachakomapema wanagonga pale pale!
 
Back
Top Bottom